Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Mimi mawazo yangu ni Yale ya kizamani, hivyo kwangu ndoa ni lazima.
Lakini ni lazima Kwa vile nipo na MTU ambaye naye anatumia mifumo ya kale.

Kwangu Maisha ni kuwa na Familia.
Ila kamwe sitokubali kuwa na familia ya kijinga na kipuuzi Kwa kisingizio cha ndoa.
Hilo kwangu halitavumilika
Khaa kumbe umeoa,

Jamani ee kiongozi wa agenda ya kataa ndoa "ANA MKE".
 
Napenda kufahamu kuwa wewe ulizaliwa Ndani ya Ndoa au Nje ya Ndoa au Ulizaliwa kupitia surrogate mother?

Jibu lako lazima liangukie kwenye haya machaguo matatu kwenye swali langu

Ukinijibu na mimi nitajibu

Khaa kumbe umeoa,

Jamani ee kiongozi wa agenda ya kataa ndoa "ANA MKE".
🤣🤣🤣ndio kaoa
 
Be specific usije na general statement zamani ilikua vile au hivi, kitu gani specific cha zamani kinachofanya Ndoa za sasa kuwa pasua kichwa in comparison?
Wanawake kukimbia majukumu ya ulezi kutaka msaidizi believe 3
 
Mtu akikataa ndoa siawetu mtawa?

Mada ingekua je ndoa na utawa nikipi bora?
Unaweza usioe kwasababu zako lakini kusema na kutangaza kama ndoa haifai je tutapata wapi vizazi vilivyobora vinavyopata malezi ya baba na mama?

Sijafanya utafiti lakini nadhani mtu aliyelelewa kwenye familia ya wanandoa yenye maadili mazuri,upendo,kubebana katika tabu na raha, maradhi na uzima hawezi akaipinga ndoa. Bali aliyeona migogoro yakupindukia kwenye ndoa anaweza akapinga ndoa.
Kundi lingine linalopinga ndoa linaweza kua lawatu ambao wamepata malezi ya mzazi mmoja na wakadanganywa na mzazi huyo kwamba mzazi mwingine nimbaya,nimnyama,hafai,nikatili,nimuuaji,nk
Suala la ndoa inabidi ukitaka kuipinga ujipange kwa hoja usisemetu sijui unaibiwa mahari. Je ukipata mwanamke akakuambia familia yake haitaki mahari je utabadili msimamo?
 
1timetheo 4:3. Mambo haya yote yamenenwa humo na hakuna jipya. Roho ya ibilisi iko kila mahali ikichapa kazi
 
Back
Top Bottom