Ukiisoma hiyo line ktk bold japokuwa umeiandika mwenyewe unaielewa?Mkuu nani kakuambia ukiwa hauna ndoa hauna majukumu , kuna Mario mmoja yupo kwenye ndoa mbona ninamlisha yeye na mke wake na watoto wangu wawili na huyo mmoja wakwake, mimi nakataa ndoa kwa mfano hai.
Ila mkuu mshana kaongelea hii mada kiushabki zaidi na kihisia zaid, ila atatulia tu atakuja na maono yenye kuleta tija pande zote .
Ushoga na Usagaji vitaongezeka kwa kasi ya 5GSipati picha kila mtu akikataa ndoa.
Haujaelwa coz haujasoma comment ya niliye mjibu, ni hivi nilizaa na mwanamke watoto wawil akaolewa ndoa na jamaa mmoja ambae amezaa nae mtoto mmoja , kwa hyo yule mama ana watoto watatu , huyo jamaa hajishughulishi ninapotuma matunzo ya watoto wangu na mama yao nae jamaa yupo mezani anakula .Ukiisoma hiyo line ktk bold japokuwa umeiandika mwenyewe unaielewa?
Ndo maana nasema tatizo waanzilishi au watetezi wa hizi hoja ni watoto wadogo wasiojitambua,unamlisha mwanaume mwenzio na mke wake na watoto wako wewe nani?shoga au basha!
Unaelewa maana ya ndoa lakini? Halafu haya madude mnakuja kuyapa vipaumbele mwenyewe kila ktu ushoga ,unachojaza kichwani kila mara kitakuja kushape tabia yako.Ushoga na Usagaji vitaongezeka kwa kasi ya 5G
Mkuu hawa jamaa wanaongea kiushabiki na hisia tuUnaelewa maana ya ndoa lakini? Halafu haya madude mnakuja kuyapa vipaumbele mwenyewe kila ktu ushoga ,unachojaza kichwani kila mara kitakuja kushape tabia yako.
Hasara zipi mkuu
Wapi inamkamdiza mwanaume??Kwa maisha ya sasa kijana haitaji ndoa kabisa ndoa ni utapeli mambo leo ndoa imeletwa kumkandamiza mwanamme
Nashauri vijana tusioe kuwa na mtu wa kuishi nae zaa nae ila USIOE
Tulia wewe wa upinde povu LA nini na mwili wako?.
Kwa dunia yasasa yupo sahihiHuyo Robert ni Misogynist kama hamjui Mada zake zote zimelenga kuwasulubu wanawake… IDIOT
I see, experience zenu mbaya zisiwafanye kuwa influence wanaume wengine negatively pumbafuHaujaelwa coz haujasoma comment ya niliye mjibu, ni hivi nilizaa na mwanamke watoto wawil akaolewa ndoa na jamaa mmoja ambae amezaa nae mtoto mmoja , kwa hyo yule mama ana watoto watatu , huyo jamaa hajishughulishi ninapotuma matunzo ya watoto wangu na mama yao nae jamaa yupo mezani anakula .
Ya zamani ilikuwajeKwa dunia yasasa yupo sahihi
Usinichoshe!Kumbe kukataa ndoa nikuwasulubu wanawake na kukubali ndoa ni kuwasulubu wanaume
Sasa si uvunje hiyo ndoa yako? Au wewe ulioa kwa mfumo wa zamani?Mimi sijakataa,
Ndio maana nikasema Kwa mfumo wa zamani ndoa ni muhimu.
Ila Kwa Hali ilivyo na mabinti na Vijana mifumo wanayoitumia ninakuhakikishia ndoa ni zaidi ya UHUNI, Utapeli, mateso, nmk.
Ingawaje Mimi nimeoa