Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?

  • Total voters
    136
Ndoa Kwa malezi Bora ya vizazi vijavyo, umekuwa bora kwasababu baba Yako alioa na mama Yako aliolewa na ukalelewa hata Leo unajidai naenda na Mshana Jr
Wote bora Walitokea kwenye ndoa? Sio kweli kwa hili Big NO
 
Ndoa ni mpango wa Mungu
wachache wameharibu na kufanya ionekane haina maana!
Binafsi nipo kwenye ndoa mwaka wa 11 sasa na ukiniuliza kama ni mbaya ntakujibu hapana,ni njema na nafurahia kuona wanangu wakikua huku wanapata upendo wote kutoka kwa baba yao,hii inawajenga kisaikolojia na kuwaondolea upweke wa kukosa mzazi mmoja!
Kikubwa ukitaka kuingia kwenye ndoa uwe na subra upate alie tayari kufanya majukumu yake kama mwanandoa na si vinginevyo,hapa haimaanishi hamtakwazana lakini yale majuto hutakaa uyapate kama shuhuda za watu humu!
Mimi nasimama na mshana,kijana KUBALI ndoa!
 
Kabisa siwez enda kinyume cha mpango wa Mungu ni kumpa shetani nafasi hiyo ni big no
 
Mshana ni legend wa JF ana heshima yake🫡. Ila kiukweli mimi sijawai kuona maajabu yake zaidi naweza kusema huwa sipendi ile style yake ya kurudia kilichosemwa[emoji23][emoji23] kwenye mada. Taikon ni kijana smart sana lakini hajafika level ya kuwa legend.
Mm nachomkubali anaongea ukweli japonica katika lugha ya kikatili bila kumumunya maneno
 
Mshana ni legend wa JF ana heshima yake🫡. Ila kiukweli mimi sijawai kuona maajabu yake zaidi naweza kusema huwa sipendi ile style yake ya kurudia kilichosemwa[emoji23][emoji23] kwenye mada. Taikon ni kijana smart sana lakini hajafika level ya kuwa legend.

Wote falsafa zao ni za kawaida lakini wanaweza kuzi present vizuri .
 
Back
Top Bottom