Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hiyo iko wazi lakini hao hao wanawake ndio mama na dada zetu na ndio watoto wetuMwanamke ni bomu mda wowote analipuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo iko wazi lakini hao hao wanawake ndio mama na dada zetu na ndio watoto wetuMwanamke ni bomu mda wowote analipuka.
Hoja sio nzito kivip?
Better unakedefend upande tambua wengi wanalelewa na sio wapiga kelele na watunga stori.
Angalia poll mpaka dakika za mwisho utakuja gundua mko wachache sana na utoto ndo unawasumbua.
Upinde yaani ni mashoga na wasagajiWanao kataa ndoa kwa mbaali ni wanaharakati wa [emoji2380][emoji2380]
HahahahHapa nakubaliana na wewe Kwa mara ya kwanza
[emoji173][emoji173][emoji173]I've come across Mshana's comments,
He's about love, fairness, spirituality...I love him.
Robert is a male chauvinist, narcissistic, I try to avoid reading his contents hasa kuhusu mahusiano ili nisikwazike!!!
Dini gani?Ndoa ni utapeli ndoa ni biashara iliojificha kwa kivuli cha dini
Huwezi kua na akili timamu uhamasishe watu wakatae ndoa unataka kujenga jamii gani?Upinde yaani ni mashoga na wasagaji
Unaposema hoja sio nzito unakosea kwa ujumla .Nimeshaeleza hapo,
Ndoa ni muhimu na lazima Kwa mfumo wa zamani.
Lakini Kwa mfumo wa sasa na wakisasa ndoa haina umuhimu.
Mimi nazungumza mantiki, sizungumzi Kwa kuangalia Nani kazungumza au idadi ya watakaonikubalia au kunikukatalia ni wangapi, nazungumzia Uhalisia.
Uhalisia wa nikisemacho, nenda ustawi wa jamii au Mahakamani watakupa uhalisia wa nikisemacho.
Au Angalia Ndugu zako au washikaji zako kisha uje utoe hesabu hapa.
Well saidMwanaume Hutaki kuoa unataka kuolewa? Ushoga unaanzaga hivihiv mwanaume unakimbia majukum unaanza kuvaa wigi
Unaposema hoja sio nzito unakosea kwa ujumla .
Kwa sababu zipo nyingi ndoa Ina misingi yake kama kawaida .
Moja ya misingi ni kwamba mwanaume ni kicwha cha familia Nina maana hapo hamna haki sawa ,sasa kama unaoa wanawa wanawake wale wenye akili kama wanaharakati wa twitter unategemea nn?
Usasa sikatai ni mwingi ila sio lazima kuenda na flow kila mtu anaweza kubaki kweny asili yake na mambo ya Kawa sasa...Tusema usasa kwa mfano kuvaaa manguo ya kuchanika kama vijana wengi ila hata wwe na akili timamu zako huwezi kukaa kwani sio nature.
Haijalishi itakuwaje ila ndoa Ina umuhimu kwanza kwa ajili ya kulinda kizazi kijacho kupata misingi mizuri ya malengo.
Wazungu wanaharibu taasisi ya ndoa ili kuharibu ulimwengu mzima ...Ukiharibu ndo hata mambo mengi ni rahisi kuharibu maana ndo msingi wa jamii zetu...kuendelea kuweka umakini kweny taasisi hii Kuna maana kubwa zaidi.
Kuyumba kwa taasisi hii ndo chanzo cha mabalaa mengi duniani.
Labda ivyo!! Ila tunahitaji taasisi nzuri ya ndao kujenga jamii nzuri zaidiMimi sijakataa,
Ndio maana nikasema Kwa mfumo wa zamani ndoa ni muhimu.
Ila Kwa Hali ilivyo na mabinti na Vijana mifumo wanayoitumia ninakuhakikishia ndoa ni zaidi ya UHUNI, Utapeli, mateso, nmk.
Ingawaje Mimi nimeoa
Labda ivyo!! Ila tunahitaji taasisi nzuri ya ndao kujenga jamii nzuri zaidi