Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Nimeshaeleza hapo,
Ndoa ni muhimu na lazima Kwa mfumo wa zamani.
Lakini Kwa mfumo wa sasa na wakisasa ndoa haina umuhimu.

Mimi nazungumza mantiki, sizungumzi Kwa kuangalia Nani kazungumza au idadi ya watakaonikubalia au kunikukatalia ni wangapi, nazungumzia Uhalisia.

Uhalisia wa nikisemacho, nenda ustawi wa jamii au Mahakamani watakupa uhalisia wa nikisemacho.
Au Angalia Ndugu zako au washikaji zako kisha uje utoe hesabu hapa.
Safi kwa summary fupi nyakati hizi ndoa sio lazima
 
Kwa hoja,Robert amezidi mshana mbali sana...

Sijawahi kuona mshana kaandika mada halafu akazama ile deep mpaka Nika feel huyu mtu hiki kitu anakijua..namuona kama Google flani hivi...

Ila tukirudi kwenye mada Cohabitation ndo new age approach..
Tafuta binti ishi nae,zaa nae bila ndoa..

Easy in,easy out.Akizingua piga chini sepa,Lea watoto..Tafuta binti mwingine muweke kiunyumba bila ndoa nadhani hii ndo approach suitable kwa Sasa..

As A man should avoid papers at all cost...
 
Mimi naanza kuwa identify members wa Alphabet group


ALPHABET = LQGBT = HOMOSEXUALS.

Naomba muwe na uvumilivu wa hali ya juu pale nitakapoku identify kama kijana wa alphabet
 
Back
Top Bottom