Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee,unaanza kuhisi unabanwa Fulani ivi....Yaan mambo haya bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndo madhara ya kuchelewa kuoa au kuolewa
Wanawake wanachosha Napema sana, Sometimes tu relation naona Mzigo sa hiyo ndoa ntatoboa kweli?
 
Mwanamke ni bomu mda wowote analipuka.
Mwanamke akikulipukia tafsiri yake ni wewe ndie umeshindwa kuishi nae kwa akili, ama kwa lugha nyepesi mwanamke huyo ndie anaepaswa kuishi na wewe kwa akili.
Hapa namaanisha kwamba......
Ukiona unalipukiwa na mwanamke na ukakiri kama hapa ulivyo sema basi wazazi wako wana hasara (uanaume wako utakua hauja kamilika)
 
Mimi ni mvulana ila nakubaliana kwamba ndoa si kwa ajili ya wavulana, nikizishika hata sasa hivi naoa hapohapo sina muda wa kupoteza, family is everything

Lakini pia Mshana Jr sio wa kumfanyia comparison na mtoto wa juzi Robert Heriel, roby anaandikaga points ila ukiziangalia mara nyingi huwa zinaakisi maisha kwa wakati husika na sio nyuma tulipotoka wala mbele tunakoenda,
Maisha ya sasa yanategemea tulipotoka ili kuijenga future makini, sikatai tunatakiwa kuendana na wakati ila maisha hayapo kama Roby anavoandika japokua kwa macho ya kawaida tunamuona yupo srz ila nyuma ya uhalisia is less-sense
 
Oo God! U called me your what? X? U can't be serious 🤗
Why don't you rectify the situation by coming back on my strong hands? It still feels like our first kiss and touches, I remember the smell of your skin, remember everything of you. It's getting better seeing you in my ❤️
 
Back
Top Bottom