Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Utakuwa umepita mikononi mwangu wewe naamini.
 
Op gan wewe mkuu
 
TYC=2ic
 
Sema vizuri kuna mkuu wa nidhamu Mr RSm ( waranti afsa) aka mteule Huyo ni Mundemba sio mwingine.
 
Mm nilikuwa sipendi kutoa vitanda nje majira ya saa tisa au saa nane usiku ili kudeki ndani na mnaambiwa hadi ndani mkauke then muingize vitanda na mlale. Pili kufunga net muundo wa kitunguu na 3 mnaenda kula mna match anatokea afande cjui mama wakambo mara nyama za bure mara ooh baba chanja then mnaanbiwa nyumaaa geukaaa then mbeleeeeee tembea mnazungushwaaa hadi njaa inaisha. Without forgeting night disco and roll call na hamlali hadi mtimie. Rwamkoma kuna mwewe wanapora sana samaki kwenye sinia
 
838kj Operation Magufuli 2016..
Nlikerwa na vitu vingi sana mpaka nashindwa nianzie wap..
Ila kwa ufupi wale jamaa ni wauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…