xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
Sawa mkuu mtandao naona pia inasumbua,lakin nimekupata poa,vp kwa ngaz ya diploma ya uhasibu jeshn inauzito gan? Na post zikitoka huwa usail unachukua muda gan? Kiukwel napenda sana jesh i wish one day i wll.
Yani kuhusu hilo we usihofu, wanachukuliwa watu wenye fani za kubeba mafile sembuse wewe....
uhasibu una mashiko sana tu tena na diploma yako, ukifaulu coz ya TMA unakula chuma 1 (2nd lutenant) na take home is 1. 1 roughly japo kuna virupurupu, posho nk....
usaili hauchukui muda mrefu sana nadhati hata wiki ni ndefu, sina uhakika sana coz mimi sikupitia huku
Kaka nisipokupa pongezi ntakuwa mchoyo wa fadhila, kikubwa zaidi nakuombea Mola akupe afya na uzima na uzidi kuwa na moyo wa kipekee wa kutufungua vijana hasa ambao tuna damu za uzalendo na kupenda kazi za kijeshi ndani yetu, asante kwa ma "ronja" mkuu, I bet one day Tutakutana Kule Tango Mike ALpha coz naimani ushapiga Mkuu.
xir jyerphy usisahau kuwakumbusha vijana kuwa, wanatakiwa wajiunge na jeshi endapo tuu wana mapenzi ya jeshi lakini wasijiunge kwa sababu ya ugumu wa ajira mtaani, hapo watajuta.
jeshi ni wito kwanza then mambo mengine ni matokeo.
xir jyerphy usisahau kuwakumbusha vijana kuwa, wanatakiwa wajiunge na jeshi endapo tuu wana mapenzi ya jeshi lakini wasijiunge kwa sababu ya ugumu wa ajira mtaani, hapo watajuta.
jeshi ni wito kwanza then mambo mengine ni matokeo.
kweli tz kwa usalama tupo nyuma hivi mnahakika na uraia wa aliyeleta uzi huu? na hizi taarifa mnajua anataka kuzifanyia kazi gani hamna uanajeshi hapo ni uraia tu mjeshi aliyeiva kijeshi angefunga mdomo shame on youHuku kazi tu maisha yanaenda inabid ujtolee kweli co mchezo unapata ronja jeshi hlina ronja kaka
kaka nakushauri funga uzi huu otherwise within no tym ur be trouble coz ur a foregner na wanajeshi mbumbumbu wanakumwagia siri za training yao this is my adviceSwala la JKT limekua
compulsory kwa wale wote tunaosubiri nafasi za professionals za jeshi
kwani ni lazima kwanza tu serve jkt for four months then ndio miezi sita
ya officer cadet. Mimi naomba kwa wale ambao mmepitia huko (hususan
walioapa juzi juzi) mtu habarishe nini cha ku expect huko, na since day 1
mlivowasili kambini ilikuaje etc. Hii itasaidia wengi kujiandaa
psychologically and physically kwaajili ya mafunzo. Kwani huku mtaani
speculations ni nyingi sana, wengine wanasema wiki sita za kwanza hamna
kuvua mabuti wala kulala na rumours nyingine kama hizo hivyo kwa ambaye
hatojali basi tungefurahi kama ata share na sisi hapa.
Regards,
Don Lucchese cc xir jyerphy
kweli tz kwa usalama
tupo nyuma hivi mnahakika na uraia wa aliyeleta uzi huu? na hizi
taarifa mnajua anataka kuzifanyia kazi gani hamna uanajeshi hapo ni
uraia tu mjeshi aliyeiva kijeshi angefunga mdomo shame on you
kaka nakushauri funga uzi huu otherwise within no tym ur be trouble coz ur a foregner na wanajeshi mbumbumbu wanakumwagia siri za training yao this is my advice
kweli tz kwa usalama tupo nyuma hivi mnahakika na uraia wa aliyeleta uzi huu? na hizi taarifa mnajua anataka kuzifanyia kazi gani hamna uanajeshi hapo ni uraia tu mjeshi aliyeiva kijeshi angefunga mdomo shame on you
Dah! Kweli mkuu hapo nimekuelewa,ngoja 2subirie watangaze nafasi hzo,huwa najiuliza y mwanamke aweze mm nina nn? So baada ya muda gan unapewa magwanda na jez kw ujumla? Koplo n cheo cha aina gan?
Mkuu mm nina diploma ya uharibu nikabahatika kuingia jeshn je,naanza na cheo gan? Na n baada ya mafunzo au utakuwa unatambulka direct?
Dah kwel nimekupata ipasavyo,respect kwako alama ya mkasi n cheo gan? Na nyota mblli?
salaam mkuu,
nina swali kidogo linalohusiani na mada hapo juu,miaka kama 6 iliyopita nilipata opersheni ya appendex...kwa maana hiyo mpaka sasa bado ninaalama ya kisu lakini kiafya nipo njema,nina uwezo mkubwa wakufanya shughuri nyingi zinakutumia nguvu.
Mwakani namaliza varsity,nina mpango wa kuvaa gwanda,habari za kitaa zinachanganya sana..wengine wanasema kwakuwa nina kovu tumboni basi mm jeshi siwezikukubaliwa,sasa napata tabu kidogo,ebu nipe ufafanunuzi juu ya hii ishu.
Swali la nyongeza,ni kweli jeshini hawachukui watu ambao miguu yao ina uvungu????