Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Sawa mkuu mtandao naona pia inasumbua,lakin nimekupata poa,vp kwa ngaz ya diploma ya uhasibu jeshn inauzito gan? Na post zikitoka huwa usail unachukua muda gan? Kiukwel napenda sana jesh i wish one day i wll.

Yani kuhusu hilo we usihofu, wanachukuliwa watu wenye fani za kubeba mafile sembuse wewe....

uhasibu una mashiko sana tu tena na diploma yako, ukifaulu coz ya TMA unakula chuma 1 (2nd lutenant) na take home is 1. 1 roughly japo kuna virupurupu, posho nk....

usaili hauchukui muda mrefu sana nadhati hata wiki ni ndefu, sina uhakika sana coz mimi sikupitia huku
 
mkuu ww ulikuwa unit gan? Kwan mpaka sasa upo jeshn? Au ulipta tu
 
xir jyerphy usisahau kuwakumbusha vijana kuwa, wanatakiwa wajiunge na jeshi endapo tuu wana mapenzi ya jeshi lakini wasijiunge kwa sababu ya ugumu wa ajira mtaani, hapo watajuta.
jeshi ni wito kwanza then mambo mengine ni matokeo.
 
Kaka nisipokupa pongezi ntakuwa mchoyo wa fadhila, kikubwa zaidi nakuombea Mola akupe afya na uzima na uzidi kuwa na moyo wa kipekee wa kutufungua vijana hasa ambao tuna damu za uzalendo na kupenda kazi za kijeshi ndani yetu, asante kwa ma "ronja" mkuu, I bet one day Tutakutana Kule Tango Mike ALpha coz naimani ushapiga Mkuu.

Thanks Dela....
hihihiihihi, mimi hata sijapiga hiyo tma,
 
Last edited by a moderator:
xir jyerphy usisahau kuwakumbusha vijana kuwa, wanatakiwa wajiunge na jeshi endapo tuu wana mapenzi ya jeshi lakini wasijiunge kwa sababu ya ugumu wa ajira mtaani, hapo watajuta.
jeshi ni wito kwanza then mambo mengine ni matokeo.

Kabisa Mkuu, ikiwa tunalitamani kwasababu kuna hela na wanalipa vizuri basi hatutaweza himili mikiki ya huko, uzalendo na mapenzi ya jeshi kwanza, mengine baadae.
 
xir jyerphy usisahau kuwakumbusha vijana kuwa, wanatakiwa wajiunge na jeshi endapo tuu wana mapenzi ya jeshi lakini wasijiunge kwa sababu ya ugumu wa ajira mtaani, hapo watajuta.
jeshi ni wito kwanza then mambo mengine ni matokeo.

Umenena mkuu Ndibalema, nahisi haina haja ya kuwasisitizia tena sababu wamekupata
 
Last edited by a moderator:
Huku kazi tu maisha yanaenda inabid ujtolee kweli co mchezo unapata ronja jeshi hlina ronja kaka
kweli tz kwa usalama tupo nyuma hivi mnahakika na uraia wa aliyeleta uzi huu? na hizi taarifa mnajua anataka kuzifanyia kazi gani hamna uanajeshi hapo ni uraia tu mjeshi aliyeiva kijeshi angefunga mdomo shame on you
 
Dah! Kweli mkuu hapo nimekuelewa,ngoja 2subirie watangaze nafasi hzo,huwa najiuliza y mwanamke aweze mm nina nn? So baada ya muda gan unapewa magwanda na jez kw ujumla? Koplo n cheo cha aina gan?
 
Swala la JKT limekua
compulsory kwa wale wote tunaosubiri nafasi za professionals za jeshi
kwani ni lazima kwanza tu serve jkt for four months then ndio miezi sita
ya officer cadet. Mimi naomba kwa wale ambao mmepitia huko (hususan
walioapa juzi juzi) mtu habarishe nini cha ku expect huko, na since day 1
mlivowasili kambini ilikuaje etc. Hii itasaidia wengi kujiandaa
psychologically and physically kwaajili ya mafunzo. Kwani huku mtaani
speculations ni nyingi sana, wengine wanasema wiki sita za kwanza hamna
kuvua mabuti wala kulala na rumours nyingine kama hizo hivyo kwa ambaye
hatojali basi tungefurahi kama ata share na sisi hapa.
Regards,
Don Lucchese cc xir jyerphy
kaka nakushauri funga uzi huu otherwise within no tym ur be trouble coz ur a foregner na wanajeshi mbumbumbu wanakumwagia siri za training yao this is my advice
 
Last edited by a moderator:
kweli tz kwa usalama
tupo nyuma hivi mnahakika na uraia wa aliyeleta uzi huu? na hizi
taarifa mnajua anataka kuzifanyia kazi gani hamna uanajeshi hapo ni
uraia tu mjeshi aliyeiva kijeshi angefunga mdomo shame on you

Muache bwana mdogo atudadavulie.....by the way hajatoa siri za Jeshi, bali ni taratibu za Mafunzo tu.
 
kaka nakushauri funga uzi huu otherwise within no tym ur be trouble coz ur a foregner na wanajeshi mbumbumbu wanakumwagia siri za training yao this is my advice

Acha uboya mkuu, au I'd ndo imekubabaisha? Mimi mhehe wa iringa au adi nikwambie kamwene? Tena kweli we wa ajabu. National service unafananisha na jeshi? I insist, acha uboya.
 
kweli tz kwa usalama tupo nyuma hivi mnahakika na uraia wa aliyeleta uzi huu? na hizi taarifa mnajua anataka kuzifanyia kazi gani hamna uanajeshi hapo ni uraia tu mjeshi aliyeiva kijeshi angefunga mdomo shame on you

Hiii!! siri gani hiyo unayoizungumzia wewe... ?
mabomu yakilipuka lazima majeshi yatufafanulie what went wrong, tunapata updates za battlefields kule m23, comoro, kenya, somali nk,Wanajeshi akiuwawa akiwa kazini lazima tupewe habari;
whats wrong kumjuza raia jinsi gani ya kuingia jkt, michezo (sports) , na nyimbo za kijeshi.... wakati hilo jeshi lenyewe linatoa vipeperushi na kurusha hewani mafunzo ya jkt...

Hivi unahabari kuwa pale TMA Monduli, wanatoa mafunzo ya kijeshi kwa nchi 8 za kiafrika, tena ndio ukadeti (officer) wenyewe huo, kama ni kuchota siri washachota ngapi?.?

Ngazi za juu za jeshi (kanali+) hupata mafunzo yao nchi zingine (ughaibuni), unadhani wamechota siri gani?

Hata kanali hajui siri za ndani ya jeshi sembuse mimi s/m wa jkt....
mimi naona hakuna ubaya wowote katika hili....
 
Dah! Kweli mkuu hapo nimekuelewa,ngoja 2subirie watangaze nafasi hzo,huwa najiuliza y mwanamke aweze mm nina nn? So baada ya muda gan unapewa magwanda na jez kw ujumla? Koplo n cheo cha aina gan?

Gwanda za jkt, tunaziitaga karanga huwa zinatolewa baada ya kumaliza ukuruti...
kopro ni V mbili...
 
Mkuu mm nina diploma ya uharibu nikabahatika kuingia jeshn je,naanza na cheo gan? Na n baada ya mafunzo au utakuwa unatambulka direct?
 
Mkuu mm nina diploma ya uharibu nikabahatika kuingia jeshn je,naanza na cheo gan? Na n baada ya mafunzo au utakuwa unatambulka direct?

Utapiga jkt
utapiga jwtz 3 monthes
utapiga TMA 6 monthes
then ukimaliza hapo utakua umevuta chuma 1 begani (2nd lutenant)
 
salaam mkuu,
nina swali kidogo linalohusiani na mada hapo juu,miaka kama 6 iliyopita nilipata opersheni ya appendex...kwa maana hiyo mpaka sasa bado ninaalama ya kisu lakini kiafya nipo njema,nina uwezo mkubwa wakufanya shughuri nyingi zinakutumia nguvu.
Mwakani namaliza varsity,nina mpango wa kuvaa gwanda,habari za kitaa zinachanganya sana..wengine wanasema kwakuwa nina kovu tumboni basi mm jeshi siwezikukubaliwa,sasa napata tabu kidogo,ebu nipe ufafanunuzi juu ya hii ishu.
Swali la nyongeza,ni kweli jeshini hawachukui watu ambao miguu yao ina uvungu????
 
Kiukweli sijawahi kushuhudia usaili wa jwtz....!!

Watu ambao hawapo vizuri kiafya (unfit) huwa hawaruhusiwi kupata mafunzo, lakini naona hivi vigezo vimeanza kupuuzwa... zamani watu wenye makovu yanayoonekana, mapengo, masikio ya kimasai, ulemavu, magonjwa makubwa nk walikuwa hawaruhusiwi jeshini....
lakini sikuizi wapo wapo wenye mapengo, masikio ya kimasai, makov nk
hiyo ya mguu usio na uvungu kwasasa sijui ipoje lkn hata mimi nilishawai kusikia kuwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi....
NB: shoga/m-nge-se ambaye alishawahi pumuliwa kisogoni jeshini hakanyagi... na hii wanazingatia sana
 
Back
Top Bottom