xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
Sawa mkuu mtandao naona pia inasumbua,lakin nimekupata poa,vp kwa ngaz ya diploma ya uhasibu jeshn inauzito gan? Na post zikitoka huwa usail unachukua muda gan? Kiukwel napenda sana jesh i wish one day i wll.
Yani kuhusu hilo we usihofu, wanachukuliwa watu wenye fani za kubeba mafile sembuse wewe....
uhasibu una mashiko sana tu tena na diploma yako, ukifaulu coz ya TMA unakula chuma 1 (2nd lutenant) na take home is 1. 1 roughly japo kuna virupurupu, posho nk....
usaili hauchukui muda mrefu sana nadhati hata wiki ni ndefu, sina uhakika sana coz mimi sikupitia huku