Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Mkuu,

Kwa mfumo wa sasa vyombo vote vya ulinzi na usalama vinachukua vijana wake kutoka jkt

Ukimaliza kozi ya recruit "ukuruta" miezi sita unapanda cheo unakuwa service man

Kipindi hicho cha u-serviceman ndo wanakuja vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kufanya udaili kutokana na mahitaji

Polisi,mgambo,magereza,uhamiaji,tanapa,jw wapo wazi wakati wa kudaili ila TISS wanadaili serviceman "kiajabu" zaidi

Kuhusu vigezo vya uhamiaji uwe physically and mentally fit

mkuu shukrani sana kwa maelezo mazuri! mimi nina higher diploma ya logistics and transport,

malengo yangu makuu yalikuwa na kuingia uhamiaji ama TANAPA. sasa huo udahili unaofanywa kiajabu sijaelewa mkuu unamaanisha nini hasa?
 
Nakushauri uende JW.Askari wa profession yako wanahitajika sana

Logistics is everything in warfare.Nyie ndo mnaendesha vita,mna supply silaha,chakula,mavazi yani kila kitu kwa ground troops

Haha huo udaili wa ajabu ni kwa TISS.Usijali utauona tu huko ukibahatika mkuu
 
dah! mkuu naona kama kuna mlolongo sana wa mafunzo kule JW!

nimesikia kwamba post zinatoka mwezi wa tatu, sasa baada ya hapo, mafunzo yanaanza rasmi mwezi gani?
 
dah! mkuu naona kama kuna mlolongo sana wa mafunzo kule JW!

nimesikia kwamba post zinatoka mwezi wa tatu, sasa baada ya hapo, mafunzo yanaanza rasmi mwezi gani?

OP miaka 50 ya jkt ilianza mwezi wa tatu pamoja na form 6 awamu ya kwanza wa mujibu wa sheria

Wakamaliza mwezi wa 9 pamoja na form6 wa mujibu wa sheria awamu ya pili

OP miaka 50 ya jkt ni intake ya recruits iliyopita

Mlolongo ni mrefu ili kutengenza makamanda walioiva

Ilikuwa inaleta shida vijana wanaenda monduli hawana background yeyote ya jeshi wakifanya mazoezi kidogo tu wanatoroka wengine wanalilia haki za binadamu
 
mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri!

mipango yangu ni kuingia TANAPA ama UHAMIAJI baada ya kupata degree, lakini naona kwa jinsi hii,

mtu anakuwa hana mamlaka ya kujichagulia wapi pa kwenda, bali wakuu tu ndio wanafanya mgawanyiko wajuavyo!

hili lenyewe unaliongeleaje mkuu wangu?
 
Ulichoandika ni sahihi mkuu,

You just have to hope and be at the right place at the right time

Ukiwa karibu na maafande unaweza ku lobby na kupata sehemu unayopenda

TANAPA na UHAMIAJI hazina competition compared to JW

Nina uhakika wakija tu wale jamaa unapata faster ukiomba
 
oh! mkuu, nini kinachofanya JW iwe na competition hivyo??

halafu, mbona naona kama jw wana mafunzo ya muda mrefu sana mpaka kuja kuajiriwa kabisa?
 
Hakuna haki za binadamu huko jkt.kama zingekuwepo vijana wasingehenyeshwa hadi kufa.hizo adhabu zimepungua bada ya kuua vijana wetu na sisi wazazi kufunguka kwa kusema ukweli.kozi gani ya kijeshi utakayomfundisha kijana aliyeyoka shule kwa miezi mitatu ajue mambo yote hayo kama sio upuuzi mtupu?
 
JW ndo chombo kikuu cha ulinzi na usalama

Vyombo vilivyobaki vipo chini JW na ki protokali private wa JW ni senior kwa wenzake wa vyombo vingine

Ndo mana ile "bakabaka" kombati ya jeshi ni mixture ya rangi zote za vyombo vya ulinzi vilivyobaki

Kiuchumi JW bajeti yake ni kubwa obviously mishahara na malupulupu ni mazuri

Ku sum up ni kwamba JW kuna heshima na financial security

Mafunzo ya muda mrefu ni kumkomaza askari tu ili awe ready for battle at any time t

oh! mkuu, nini kinachofanya JW iwe na competition hivyo??

halafu, mbona naona kama jw wana mafunzo ya muda mrefu sana mpaka kuja kuajiriwa kabisa?
 
JW ndo chombo kikuu cha ulinzi na usalama

Vyombo vilivyobaki vipo chini JW na ki protokali private wa JW ni senior kwa wenzake wa vyombo vingine

Ndo mana ile "bakabaka" kombati ya jeshi ni mixture ya rangi zote za vyombo vya ulinzi vilivyobaki

Kiuchumi JW bajeti yake ni kubwa obviously mishahara na malupulupu ni mazuri

Ku sum up ni kwamba JW kuna heshima na financial security

Mafunzo ya muda mrefu ni kumkomaza askari tu ili awe ready for battle at any time t

sasa nimeelewa mkuu!

hii ina maana kwamba, baada ya miezi sita ya jkt, unaenda JW minne then mingine tena sita kwenda kusomea ngazi zao wanazotaka!

kwa hiyo kwa haraka haraka kuna kipindi cha mwaka mmoja na nusu hivi mafunzoni. si ndiyo mkuu?
 
Kozi ya cadet ni mwaka mzima.

Miezi 6 plus minne plus mwaka unapata miezi 22

Usikate tamaa lakini,ni maisha hayo

Baada ya hapo kutakuwa na kozi fupi fupi za darasani sana wakati unapanda vyeo vya juu

Ila hiyo kozi ya nyota iko very physical na mental pia,wengi wanafeli
 
Mkuu apakak, kuna jamaa wa airforce walikuja chuon udsm nov,2013 wakatupa semina na tukafanya uchunguz wa awali..wakachukua na contacts zetu..kama una taarifa mkuu jamaa wanaweza kutuita lini ili kuanza ingia kambini ukizingatia jkt wameshaanza..yaan mwez gan tunaweza enda mkuu..hapa nilipo sina hata hamu na kaz ninayofanya mawazo yote jeshi
 
Wela Wela nashangaa sana kumuona chura amevaa bukta kama raia x2 Kweli kama raia x3 wale wa Opération wajibu kambi ya Bulombora mp Kikuju mnamkumbuka au yule sauti ya zege afande Chua n'a wale wa danger coi mzee wa kisambaa afande moleli wé acha n'a kale kajamaa afande saa nane n'a muhogo mchungu n'a wale migebuka n'a kuruta Willy Gamba mwenye uwezo wa kula mahindi 25 ya kuchoma Geshi l'île nalikumbuka
 
mi nakumbuka siku wakorofi wote tulipopigwa bogi toka oljoro kwenda camp ya makuyuni pembezoni mwa mbuga ya manyara ile kufika tu , tukakutana na twiga pundamilia na swala ndani ya camp, si tukawaza kuwa lazima simba wawepo maeneo hayo pia, kesho yake asubuhi tulitega kazi kwa kisingizio cha kuliwa na simba, iliamriwa tukamatwe wote mara moja na kupelekwa getini, basi ilikuwa kama kuku wa kizungu hamna hata mmoja aliyeweza kukimbilia porini kwa kuogopa simba , tuliokotwa wote kwa uoga wetu, lakini baada ya mwezi mmjoja tulikuwa tunatoroka usiku na kutembea km 25 porini na tulipishana si nasimba tu hata na chui mwenye watoto. kweli jeshi zuri.
 
Kwa wale tuliokuwa nao Mlale JKT, Operation Azimio la Arusha, 1987/1988. nadhani mnawakumbuka afande Pilato, Nguvu ya Nyani, Mtono(RIP) na vijiwe kama Lusonga, Magagula, Mlandizi, Chipole

Mh jamani nilipitwa: Mnakumbuka ule wimbo'Magagula na Lusonga sitaenda tena, maafande wa Mlale watanisulubu' Iyolela iyolela iyolela aaah x2
Shambala mahindi Embakasi.Lenye matuta ambayo wala huoni mwisho wake, jamani kwa ukakamavu tulifundishwa.
Mambo mengi nitaandika nikipata muda.
 
Nakumbuka tulivyokatwa bogi kutoka Ruvu kwenda mlale! Its a along and interesting story. Naikumbuka Rukumbulu mountains isiyokuwa na lami na kusimama kuonyeshwa kaburi la askari waliokufa wakitoka vitani uganda. Hii ilikuwa operesheni kujihami. Maisha yalikuwa magumu lakini natamani kuyaona tena

Oooh Milimaya Likumburu wakati huo barabara nyembamaba. Nakumbuka mimi niliendana Kamata safari ndefu nilikuwa sijawahi safiri muda huo! Nakukaambali na wazazi kwa muda wamwaka mmoja!!!! All in all nilijifunza mengi sana!
 
Back
Top Bottom