bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
Mimi nilikuwa Mafinga JKT na baadaye as a Serviceman Itende JKT , Mafinga nilikuwa C Coy na Itende nilikuwa D coy
.
Nkaumbuka sana mambo muhimu yafuatayo:-
1. Mchakamchaka
2. Kilimo cha mahindi Idete(Mafinga), Kahawa Itende (Mbeya)
3. Kwata zote 72 (kama sijasahau)
4. Disko la kila jioni (kuimba hata kama hujui)
5. Fatiki (hasa za kufyatua matofali under Captain Waziri kule Mafinga
JKT ilitufunza uzalendo wa kweli na ukakamavu! Vijana wa siku hizi ni buree kabisa