Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Msange JKT inTake ya pili kwa mujibu wa sheria 24th June hadi 27th september 2013 nipo hapa tayari nishamaliza chuo udom last year daaaahh kitambo kweli
 
Ila daaaahh maafande wengine wana matusi hatar,
ukibugi wanakwambia "kuruta umetomba kazi"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Nakumbuka kujongo..... Kila asubuhi lazima nipotelee msituni.... afu mchana nakuwa wa kwanza foleni ya msosi!Afande Mangi akinijazia Minyama.......
 
Msange JKT inTake ya pili kwa mujibu wa sheria 24th June hadi 27th september 2013 nipo hapa tayari nishamaliza chuo udom last year daaaahh kitambo kweli

H Coy member uko wapi now?
 
Ilisaidia sana kujenga nidhamu makazini kwa wale walioajiriwa baada ya kupita JKT
 
Ais
Aisee mkuu umesababisha nicheke Sana na kufurahi Daaa Haya Maisha tunakotoka yaani bonge ya isidingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…