Haaaaa dadaki sasa kwenye gwaride mwendo haraka si ulikuwa unahemea mdomo[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa nawadoji mbaka nikawa na kitambi,kuna siku sir major akaniona akasema yani kuruta unakitambi [emoji23] [emoji23] [emoji23] alimind sana ingawa kwenye madoso nilishazoea
St Mabina na Alex skeleton, siku hiyo Alex alipoteza wacha tupigwe doso *****, chacha alitukomesha aisee . A coy ya DEMOAisee 821 jk op miaka 50 ya muungano
Combania A ya makamanda ambari, chacha na msafiri huyo ambari ni Fundi wa kwata hatar huyo chacha mnaa hatari akichafukwa nyongo
Ha ha ha msafiri yake matusi utaskia Ku......Ku.......kumaaaaaaae foleni c.o alikua mketo na-miss moments za mabio kwata chenja askwambie mtu
Katika adhabu nilokuwaa siipendi ni miongoni mwa hiyo kubeba dunia na mwendo wa kibatabataHahahaha,
Unasubir vasco dagama ikufikie au ubebe dunia..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] baba umenikumbusha mbaliiAaah kuna jamaa alikuwa hajawahi doji sixweek akawa anamwaga udenda tu tukamhurumia tukampeleka dispensary km anaumwa dokta akampa C3 jamaa alivyoonja radha ya usingiz alikuwa doja hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kurutu kuleni Katanga zinamaana yake.
835KJ
835 KJ Tanga Mgambo na Afande Laizer
RSM Matanda ulimkuta? Kayange ana bonge la pengo na sauti yake kubwa sana akiwa anaamrisha Parade ,"Kula mavi yaliyochemshwa huwezi umwa kipindu pindu".Rsm kikoti. Afande kitundu, kayange
M mwenyew nlipita hapo823 Msange
Mzee wa range vogueYa demo ya Co Mbugeeee
835 Kj tupo pamoja Mgambo.835KJ
Muimbishaji:Braaaaavooooooo coy oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
Wote:Ayeee
Muimbishaji:Bravooooo
Wote:Ayeeee
Muimbishaji:Braavoo mamaaa
Wote:Ayeee
Muimbishaji: 😛Piga kelele na shangwe
Wote:Keleleeee
Muimbishaji: 😀Dushee
Wote:Kelele za shangwe
Sir Major mayai835 KJ Tanga Mgambo na Afande Laizer
Kikoti kuna siku alinipiga virungu hatariRsm kikoti. Afande kitundu, kayange
Ulikuwa kombania gani??!OP Tanzania [emoji1241] ya viwanda.. hapa
NipoHivi humu hakuna waliopita 832Kj kweliiiiiiiiii