Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa nawadoji mbaka nikawa na kitambi,kuna siku sir major akaniona akasema yani kuruta unakitambi [emoji23] [emoji23] [emoji23] alimind sana ingawa kwenye madoso nilishazoea
Haaaaa dadaki sasa kwenye gwaride mwendo haraka si ulikuwa unahemea mdomo
 
Aisee 821 jk op miaka 50 ya muungano
Combania A ya makamanda ambari, chacha na msafiri huyo ambari ni Fundi wa kwata hatar huyo chacha mnaa hatari akichafukwa nyongo
Ha ha ha msafiri yake matusi utaskia Ku......Ku.......kumaaaaaaae foleni c.o alikua mketo na-miss moments za mabio kwata chenja askwambie mtu
St Mabina na Alex skeleton, siku hiyo Alex alipoteza wacha tupigwe doso *****, chacha alitukomesha aisee . A coy ya DEMO
 
Aaah kuna jamaa alikuwa hajawahi doji sixweek akawa anamwaga udenda tu tukamhurumia tukampeleka dispensary km anaumwa dokta akampa C3 jamaa alivyoonja radha ya usingiz alikuwa doja hatari
[emoji13] [emoji13] [emoji13] baba umenikumbusha mbalii
 
Rsm kikoti. Afande kitundu, kayange
RSM Matanda ulimkuta? Kayange ana bonge la pengo na sauti yake kubwa sana akiwa anaamrisha Parade ,"Kula mavi yaliyochemshwa huwezi umwa kipindu pindu".
 
835KJ

Muimbishaji:Braaaaavooooooo coy oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
Wote:Ayeee
Muimbishaji:Bravooooo
Wote:Ayeeee
Muimbishaji:Braavoo mamaaa
Wote:Ayeee
Muimbishaji: 😛Piga kelele na shangwe
Wote:Keleleeee
Muimbishaji: 😀Dushee
Wote:Kelele za shangwe
835 Kj tupo pamoja Mgambo.

Route ya chai
Vipi unamkumbuka Private magera? Asee ilikuwa noma sana
 
842KJ MlaleSongea. Op miaka 50 ya jkt. A- Coy private Mahamud na private Matiko walikuwa ni faya.
Matiko alichezea miezi 3 kwenye mahakama ya kijeshi baada ya kutembeza doso kwa dogo mmoja hadi akazimia. Mwendo wa kukwepa ndege haukumuacha salama.
Wapi afande kitomari?
 
OP KIKWETE
832KJ
2015
C-Coy ya DEMO

St Chachandu kwataaa[emoji123]
St Angelo[emoji115]
 
Back
Top Bottom