Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Jambooo..! Kula utawala kurutuuu
 
Kati ya matukio ninayokumbuka ni kuchoma chokaa.Kuna afande anajiita mjerumani! Kweli ni mjerumani maana ni sura ya mbuzi.Shikamoo 821kj burombola op kikwete 2015.
E-coy ya demmo chini ya Sir Major mgogo mfupi jina lake nimesahau alikuwa anapenda sana Serengeti,bila kumsahau Afande Ambali mzee wa tungi,afande Hassan Ibaru mzee wa kujila na pia Afande Malogo mtu mpole lakin mahiri kila idara.....Oc wa kombania alikuwa Afande Robert Mpemba...alikuwa poa sana...hiyo ilikuwa OP miaka 50 ya JKT Mimi nilikuwa Kitengo Cha Magogo nilikuwa na Steven Swila,Stiven Songai,Azizi Mumwi,Calvin Shayo,willbroad Kiswaga n.k
 
Oljoro JKT op Miaka 50 ya Muungano....asee m namiss mabio tu na kutafuna mahindi makavu njaa ikikutandika ukiwa unavuna mahindi Embakasi/Shamba dunia...ila ukitoka kule swala la aibu ya kukaa uchi inaondoka....kunya vichakani dah asee
Umenikumbusha Makorongoni mkuu.
Tulikuwa tukizama kule siku nzima lakini cha msingi hakikisha unabeba mahindi mabichi ya kuchoma ukiwe kule kwa ajili ya lunch ya mchana bila kufanya hivyo jiandae kushinda na njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu tulikuwa wote asee mm kama unanikumbuka nilikuwa napenda kulinda sana anga la chini uku nilikuwa nipo karibu nakitatanda cha Ahazi na Mpepo maisha yameeenda kwa kasi sana
Nakumbuka samwel mzena alijifanya kudoji jumamosi kisa sabato alikula doso hatari la afande Erick


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wale wa Mtabila 825Kj, Op Merelani..

Nilivundika Papai na Parachichi nakusahau location aiseee Roho iliuma.

Namisi Chenja na Morali ya Jeshi
Amba John
HAPPY SAMBE

Sixweek na Intro
Adhabu za kutundika nk

Pale Mtabila tulikua tuna Doji Vya Hatari.


Maafande wanaa kama Field Marshall na Sura ya yesu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msange JKT
Operation Nidhamu 86/87
B coy mafunzo ya
Lt. Materu aka mchina
Sgt. Weka
Cpl. Mandevu
Cpl. Swai
Matron Mrs Sijali
Vlcpl. Masanja sasa hivi ni Ssgt wa je
Mko wapi ndugu zangu tujuane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…