cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahaaaaa kivipi mkuuWeka comment yako ya ki-TISS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa kivipi mkuuWeka comment yako ya ki-TISS
Hapa hapa
Asee ebu tupishe hapa!!Naona hapa sio mahala pake,tuna matatizo mengi sana kama taifa,tuachaneni na mtindo huu wa kukumbushana yaliyopita kama hayatusaidii.We do not need the past if can not contribute on our future.
Hapa hapaNa sie ambao hatujapitia jkt na tuna nia ya zati kupitia uko tunacoment wapi?
[emoji3]Hahaaaaa kivipi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo juu ya mwembe porini nimefichama, halafu akaja mdada, upande wa chini, anakunya kichakani, halafu mungu sii athumani aliwahi kuwa waziri
Jambooo..! Kula utawala kurutuuuWakuu nimecheka mpaka mbavu zinauma.
Jamani enzi zile haki za binadamu ilikuwa vipi? Pale Makutupora kuna makruta walikamatwa usiku wamesimamisha minazi...wakaswekwa lupango.Kesho yake, duh! MP aliwachukua akawa awakimbiza kila mahali wakiimba " sisi ni malaya wa kikosi". Kila kulipo na kundi la watu wanapitishwa wakitroti na kuimba kawimbo hako!. Baada ya hapo waliachiwa, lakini kweli walidhalilika.Likatokea bogi la kwenda Bulombora, hawakuwemo lakini wakaomba..wakaunganishwa haoooo...Bulombora.
Tulipofika tu, tulipewa tips za kuishi jeshi na maservice waliokuwa wamebaki. Mfano, mkiwa wengi na afande akaita mtu mmoja au wwawili waje...basi kauka tu...maana unweza jitolea ukakuta kuna anakuitieeni bonge la kazi. Siku moja pale combania A afande alikuwa kwenye hanga letu akachunguliwa akesema, 'watu waili waje hapa". Mimi nilikuwa tu karibu na mlango nikajua nikikauka ngoma inaweza ikawa nzito kwangu..nikaenda. Nakumbuka jamaa mmoja aliitwa Mwinyijuma alikuwa mwisho kabisa wa hanga naye akaje..wengine wamekauka kauu! Tulipofika kwake akatumbia kachukueni mizigo yenu mnahamia kwenye kibanda cha shamba la zabibu nyeupe. Salaaaale! balaa yageuka bahati..maana tulishapewa dili hiyo kwamba huko ndiko raha zilikogunduliwa. Tuliporudi hangani jamaa wakatuuliza, vipi kwapa kazi gani? Tukajibu, kitengo cha zabibu nyeupe. Kila mtu alijilaumu kwa nini hakuenda wakati afande Hamis aliita. Walijua ni kushusha magunia ya maharage kwenye gari(maana ndi thadhari tuliyopewa)
Huko kwenye kitengo laifu ilikuwa bombaaaaaaa...kula zabibu nyeupe kwenda mbele.Kwa wasiozijua zabibu nyeupe...mmmh, ni tamu mpaka saa nyingingine vindege unaweza vikamta vinang'ang'ani.
Jamani kwa wale wa makutupora, kula nyanya mbichi mnakumbuka? Unamwagilia nyanya chini ya ulinzi mkali wa afande, akiangalia pembeni kidogo, unachokua nyanya na kupeleka direct mdomoni. imeoshwa? mmmh saa ingine unaweza lenga uliyoiona mbivu kumbe umechukua mbichi na ukaizamisha mdomoni. Kazi kuitema maana afande anaweza geuka akakuona...unameza tu.
Kombania A kulikuwa na kiafande kinaitwa Mwashamba..ebwana hiki kijamaa noma kweli. ati mchakamchaka kinakuja kutuamsha kwa kurusha mchanga kiduchu kwenye bati halafu nduki...wale watakosikia ndio haohao....kinahesabu namba na kuleta fadhaa.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, kwa wale wasienda JKT hawataelewa hiyo experience tuliopata....lakini ilikuwa na very exiting experience japo kwa sasa ingekuwa disaster hasa ukiangalia hili janga la Ukimwi.
Jambo afandeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
E-coy ya demmo chini ya Sir Major mgogo mfupi jina lake nimesahau alikuwa anapenda sana Serengeti,bila kumsahau Afande Ambali mzee wa tungi,afande Hassan Ibaru mzee wa kujila na pia Afande Malogo mtu mpole lakin mahiri kila idara.....Oc wa kombania alikuwa Afande Robert Mpemba...alikuwa poa sana...hiyo ilikuwa OP miaka 50 ya JKT Mimi nilikuwa Kitengo Cha Magogo nilikuwa na Steven Swila,Stiven Songai,Azizi Mumwi,Calvin Shayo,willbroad Kiswaga n.kKati ya matukio ninayokumbuka ni kuchoma chokaa.Kuna afande anajiita mjerumani! Kweli ni mjerumani maana ni sura ya mbuzi.Shikamoo 821kj burombola op kikwete 2015.
Wale wa Oljoro na Makuyuni mpoooo?Wale wa Makutupora na Ol joro.....
Umenikumbusha Makorongoni mkuu.Oljoro JKT op Miaka 50 ya Muungano....asee m namiss mabio tu na kutafuna mahindi makavu njaa ikikutandika ukiwa unavuna mahindi Embakasi/Shamba dunia...ila ukitoka kule swala la aibu ya kukaa uchi inaondoka....kunya vichakani dah asee
Nakumbuka MGAMBO JKT 835 tanga kina afande wame afande nurdini afande kabeya jamaa yee hatari ujinga
Umenikumbusha B-Coy Mgambo JKT OP Kikwete 2015 mkuu.Kabeya alikuwa tall fulani hivi na English yake ya this time tomorrow.Wame nilikuwa simpendi kinouma maana jamaa alikuwa hatari sana kwa madoso na route za shamba.Matroni Beatrice alikuwa mrembo kinouma ila roho mbaya mamaeeeee.Kama kweli wewe ndio yule Amos basi nishakusoma mkuu.
Wapi GendaGEenda na Komsanga.
Hivi Danger Coy zote katika kambi tofauti naskia historia ya hii Coy haibadiliki..Danger coy 835kj Mgambo OP siri yangu [emoji23][emoji23][emoji23] mpoo