Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Mkuu tangu nitoke kule 93 sikwenda tena, ila Tanga nakwenda sema sijapata muda wa kwenda Maramba, lakini nadhani lile bwawa bado lipo
 
Mkuu huyu nyambo alikua sio mtu mzur kabsa,,, Mimi nilipita pale nilimkuta amekua staff sagent, anapiga virungu hatar,,,
 
Wale watu.. 834KJ Operation Tija.. Afande Mwiba.. Afande Nyeye.. Combania C
 
Ambari mzee wa kwata [emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka kutengeneza chokaa Na kumwagilia ziwani duuh kingine opp kikwete kunawengine bogi lilibaki walibaka sana mujibu washeria [emoji23][emoji23] yaani service man walikua wanaenda kula Serengeti wetu usiku wanavamia kama wasomali
Wesere , boya ana mikwara yule na limwili lake..[emoji23][emoji23]

Afande Ambari naye na lisauti lake!
 
[emoji23][emoji23]Daah Chokaa nilibanwa gogo nusu ya kufa kisha nikala stiki za Mjerumani..

Serengeti wanakula sana mkunyenge siku ya kuhitimu.

Hivi CO mlikuta Mketo au alibadilishwa.?

RSM mtata : Mundeba daah mixer MP wa main gate Akyoo na kiherehere na mzenji.

Migazi na kuiba mapapai kule bustani 821kj sio poa .
 
Wakuu mdogo wenu hapa nimepangwa MAKUYUNI ARUSHA mwaka huu tujuzane kidogo
Maafande Hawa bado Wapo? Luten Lukinga, Rissa, mazije, Kimaro. CO bado ni major maresa? Vipi Hawa Maafande kina Kevin, Hugo, stsgt makame stsgt kajimala??
 
Operesheni Tujisahihishe, 1977, Ruvu JKT, Eagle Coy platoon 3 ya Afande Chokela. Huyu afande alikuwa akiogopwa kwa adhabu na hasira za kurekure kwao. Akakuta siku moja vitanda havijatandikwa vizuri na havipo kwenye foleni. Hivyo akatoa demo na pia adhabu kwetu makuruta akaiita kusalimia kitanda. Yaani unaweka mikono kwenye chuma kile cha kichwani na miguu yako inakuwa imekita kwenye chuma kile cha nyuma halafu unaanza kupiga push up! Sasa ole wako uwe mfupi kama alivyokuwa mwenzetu tukimuita Short, utapata taabu sana kwa Afande Chokela, maana mikono itafikia chuma cha mbele lakini miguu hata nusu ya kitanda haifiki. Short alipata shida kweli. Lakini taarifa zikamfikia Makame na adhabu hiyo ikapigwa marufuku kabisa.
 
Maafande Hawa bado Wapo? Luten Lukinga, Rissa, mazije, Kimaro. CO bado ni major maresa? Vipi Hawa Maafande kina Kevin, Hugo, stsgt makame stsgt kajimala??
afande ward, njovu, kapugi, captain nduguru, martin, na wengne weng
 
Nilipita pale ila 2017 mkuu. Sehemu saafi kabisa Operation Tanzania ya Viwanda
Wale waliopita kambi ya JKT Mlale, Operation Kujihami kiuchumi mwaka 1982/83 .... Tukutane hapa tukumbushane suruba tulizozipata na MM zilizotumika kuziepuka .... Hasa SM/SW wa B-Coy!.... Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…