Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
Mimi Ndiye niliyekuwepo wakati huo. CO ni MKUU wa kikosi na ndiye aliyetangaza na OC ni mkuu wa kombania. Kikosi (kambi) inaweza kuwa na ma OC wengi kutegemeana Na idadi ya kombania lakini CO ni mmoja tu - MKUU wa kambiSio co ni oc.nipo itende.
Sisi tulishinda kwata wakasema kutakuwa na Mbuzi sijui..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukaishia kulaa dosooo ***** walahiiMimi nilikuwa OPERESHENI TIMIZA 1976 pale Ruvu. Nakumbika kama ni siku ya kombania yetu kupika basi siku hiyo ilikuwa pia ya kuchinja ng'ombe kama kumi hivi. Nakumbuka tulikuwa tunajongea porini kwenda kuchoma nyama tuliyoiba wakati tunaendelea kuchinja na kutayarisha nyama ya kupika ya siku hiyo.
Vipi ulimkuta afande ambari[emoji23][emoji23][emoji23]yupo analisauti moja hatari sana kweli mkuu wee wa bulombora afande wezere pia yupo
Ambari nilikua namkubali kinyama mishe mishe zake alitufanya kua active mda wote aliokuwepoWesere , boya ana mikwara yule na limwili lake..[emoji23][emoji23]
Afande Ambari naye na lisauti lake!
[emoji23][emoji23] Misauti kama yote!Ambari nilikua namkubali kinyama mishe mishe zake alitufanya kua active mda wote aliokuwepo
Ok nimekusoma nilihisi umemaanisha co ndio mkuu wa coy.Mimi Ndiye niliyekuwepo wakati huo. CO ni MKUU wa kikosi na ndiye aliyetangaza na OC ni mkuu wa kombania. Kikosi (kambi) inaweza kuwa na ma OC wengi kutegemeana Na idadi ya kombania lakini CO ni mmoja tu - MKUU wa kambi
Umenikumbusha akina Gitorobo Gitorobo, Dunstan, Wega R.I.P, Maduma wa Eagle, Mama Msaghaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo pm Mzee!!tulikua chini ya uangalizi Wa st mkuda,na Mzee wetu mlahagwa
Karani alikuwa Matonyi. Kotagadi alikuwepo mtu anaitwa Makanta na Corporal Willy, armoury Kitila R.I.P. akina Corporal Chilumba, Corporal Bahati R.I.PGitorobo karan maduma alikuwa rsm mtaalam wakwata na saut yake.
Karani alikuwa Matonyi. Kotagadi alikuwepo mtu anaitwa Makanta na Corporal Willy, armoury Kitila R.I.P. akina Corporal Chilumba, Corporal Bahati R.I.P
[emoji123][emoji123]Gitorobo kaja kustaafu itende jkt mbeya akiwa karani.
Pole Kwa kuelezea uongo uliotukukaSio Bujombora Mkuu ni Bulombora ambayo kwa sasa ni Kanembwa