838kj yaaani full moralii..pale afande Oc chilolo..sir major nguka..
Yeah!! We made it
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ndo nilipiga hyoI mean vijana walikuwa na morali huku ikichagizwa zaidi na jinsi walivyokuwa wakihudumiwa,kuanzia chakula kilikuwa kizuri,mavazi walipewa bure baada ya kuripoti kambini pamoja na vifaa kama neti,viatu nk.
Sio swala LA kuwa Malaya ni either uliwe kwa hiari yako au kwa lazima...Joowzey ivi unaniona me malaya mpaka niliwe na makoplo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wangeishia kumeza mate tuh
Kibakuri komando saiv ahaha mgambo jktAfande kibakuri kombani B na matron grace, idd na bahati combination hii sitaisahau hadi nakufa
Saa 11 alfajili kama utani kuanzia saa 1 jion
Afande kishoka na kafufi
Komsanga, genda kenda na kwa bojo #2014
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha haya ndo tulianza nae mkesha wa kwanza aise, alitutesa sana akiwa na idd, bahati, grace. Alikuwa anasema tuiname afu tukate mauno anasema tu seme shaaaah, mtu ukizungusha vzr mauno unakula tano ndefu nikikumbuka huwa nacheka mwnyewe
Makuyuni mwaka gn?mi nakumbuka siku wakorofi wote tulipopigwa bogi toka oljoro kwenda camp ya makuyuni pembezoni mwa mbuga ya manyara ile kufika tu , tukakutana na twiga pundamilia na swala ndani ya camp, si tukawaza kuwa lazima simba wawepo maeneo hayo pia, kesho yake asubuhi tulitega kazi kwa kisingizio cha kuliwa na simba, iliamriwa tukamatwe wote mara moja na kupelekwa getini, basi ilikuwa kama kuku wa kizungu hamna hata mmoja aliyeweza kukimbilia porini kwa kuogopa simba , tuliokotwa wote kwa uoga wetu, lakini baada ya mwezi mmjoja tulikuwa tunatoroka usiku na kutembea km 25 porini na tulipishana si nasimba tu hata na chui mwenye watoto. kweli jeshi zuri.
mademu mnaliwa sana na MT vidude vyenu ndiyo vinawapa cheo na chamce kwa maofsa.
. Coplo kitereja
ahahaha namkumbuka sana afande sanga na mwezake ngailo. daaah kuna sku ngailo katurolisha pale uwanjan mpaka sio poa. ila kiukweli pale tumeinjoi asee [emoji23][emoji23][emoji23]Wapi op maghufuli maramba 2016
Jkt ngumu iliishia op sensa,Jkt ya morali iliishia op kikwete.kuanzia op magufuli ni siasa
Pole san ile ni historia huwezi sahau hadi kufa kwako
JKT ni CHEAP LABOUR.Huu ni ukweli mchungu.Nawaona wanavyolima mwisho mkataba ukiisha wengi wanabaki kuwa na majuto .
Nchi hii sasa inaitaji kuishi kwa akili sana.Usiende kule kama ujapewa connection ya MTU.
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana green vest ulikuo hafui wewe ulikuwa una lala nayo una amka nayo =joke
Joowzey ivi unaniona me malaya mpaka niliwe na makoplo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wangeishia kumeza mate tuh