Jobless graduate
Member
- Apr 1, 2019
- 96
- 135
Hatukupendelewa mkuu tulistahili kabisa kupewa zile tuzo. Sisi usafi ilikuwa ni daily maana maafande wetu walikuwa ni wanaa kinoma, nyie usafi mlikomalia mwishoni mwishoni mkavika hadi vitanda soksi za makaratasi lakini pamoja na hayo yote bado tuliwashinda. Tukawapiga na kwenye kwata pamoja na uzalishaji maliHarafu nyie mlipendelewa usafi mkaongoza ile siku ya passing off the square [emoji23] mlikua na yule Simba wa Yuda (mzee wa shambani) achana na Ngutanyi fala sana nyie D-Coy.
[emoji23][emoji23] kwenye Uzalishaji mali kweli mlikua poa ila usafi mlitupiga pale.Hatukupendelewa mkuu tulistahili kabisa kupewa zile tuzo. Sisi usafi ilikuwa ni daily maana maafande wetu walikuwa ni wanaa kinoma, nyie usafi mlikomalia mwishoni mwishoni mkavika hadi vitanda soksi za makaratasi lakini pamoja na hayo yote bado tuliwashinda. Tukawapiga na kwenye kwata pamoja na uzalishaji mali
Mkuu kunifahamu ni kazi et, maana hata mimi nimewasahau wana wengi sanaaa. Imagine nilioenda chuo nilikutana na mwamba fulani tulikuwa wote D koi lakini sura ilibaki kutokuwa ngeni, mpk tulipoulizana kuwa tumewahi kuonana wapi???? 😁😁😁😁, yani vile vipara vilikuwa vinatupoteza sana mkuu. Ila kama unamkumbuka mwamba aliyetongozaga mti kwenye kombaniya, jua ndo mimi😆😆😆.Mbona sikufahamu mkuu mwenyewe nilikuwa danger- coy
Kwenye ule moto, tulikula sana kwale na mwamba fulani hivi balaaa😆😆😆 ila mm sikuwahi kuwaza kuhusu mademu nikiwa kule, nilikuwaga na kampani ya pisikali moja hiv tokea arusha, tukiwa bustanini unakuta ipo nyuma yangu, kuokota kuni nipo nayo, na tulikuwa tunawah kuokota kuni mana nilikuwaga kwenye kitengo cha kukata kuni porini😆, ko kuni nilikuwa najua zilimo. So tulikuwa tukiokota tunalala huko weee but sikuwahi muomba tunda, na huenda aliniona mm hanithi 😁😁😁 but mm kwenye hizo za kulana kimasihara huwa sizifagilii kabisaa[emoji23][emoji23] kwenye Uzalishaji mali kweli mlikua poa ila usafi mlitupiga pale.
Kuna pisi moja uwanja wa damu siku ya intro nilipenda sana alikua wa D-Coy . Ile siku tuliiva sana kuna yule jamaa wa Hangiing positiiiiiiiiiiiiion , ten minus oneeeeeeee, starting from the righttttttt.... one two three start!
Yule demu ilikua kidogo akate moto aisee afu kile kiza makamanda wanatembeza makofi.
Nikawa nampa backup kiaina aliinjoy kampani jampo kuna mda tulipigwa tifu tukapotezana lile eneo hapo mpka siku moja nikamuona bustanini nikamkumbushia maana nilimkalili ule usiku sababu ya kimwagaza cha mwezi.
Huwezi amini siku ya kugraduate nilikula tunda kule mitaa ya chooni walipotia moto [emoji23][emoji23]
Pia kuna baadhi ya watu huwezi sahau maishani pale Bulombora!Mkuu kunifahamu ni kazi et, maana hata mimi nimewasahau wana wengi sanaaa. Imagine nilioenda chuo nilikutana na mwamba fulani tulikuwa wote D koi lakini sura ilibaki kutokuwa ngeni, mpk tulipoulizana kuwa tumewahi kuonana wapi???? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], yani vile vipara vilikuwa vinatupoteza sana mkuu. Ila kama unamkumbuka mwamba aliyetongozaga mti kwenye kombaniya, jua ndo mimi[emoji38][emoji38][emoji38].
Ulokosa raha mkuu[emoji23] siku ya mahafali serengeti walichezea sana rungu la kipepe. Trust me wengi wao wakiwa first year walitoa mimba au wana watoto wakubwa muda huu na ukimwi maana maafande pia walijipimia .. ule muda tunasomewa route mabasi yamepaki (kipaumbele waliokosea kuomba mkopo) behind the scene tulikua tunakula pisi zetu huko vichakani [emoji23][emoji23]Kwenye ule moto, tulikula sana kwale na mwamba fulani hivi balaaa[emoji38][emoji38][emoji38] ila mm sikuwahi kuwaza kuhusu mademu nikiwa kule, nilikuwaga na kampani ya pisikali moja hiv tokea arusha, tukiwa bustanini unakuta ipo nyuma yangu, kuokota kuni nipo nayo, na tulikuwa tunawah kuokota kuni mana nilikuwaga kwenye kitengo cha kukata kuni porini[emoji38], ko kuni nilikuwa najua zilimo. So tulikuwa tukiokota tunalala huko weee but sikuwahi muomba tunda, na huenda aliniona mm hanithi [emoji16][emoji16][emoji16] but mm kwenye hizo za kulana kimasihara huwa sizifagilii kabisaa
Salute kwake basta, ndiye aliyenipaga connection ya kubasti pale, na kuvizia ukoko kule jikoni😆😆😆😆, tulikuwaga tunakusanya ukoko wa kutosha zeni tunauficha kwenye kilasketi fulani hiv mwamba alipenyaga nacho kihuni ck wanampokea. Alafu tukawa tukitoka uwanja wa damu mida ya kulala ndo tunaanza kula ukoko wetu😆😆, muda huo unakuta ubao unasoma balaaaPia kuna baadhi ya watu huwezi sahau maishani pale Bulombora!
Umemsahau hadi Buster (Basta) aliyeomba tuwe tunapewa maziwa sababu kwenye kombania kuna vumbi??
Mbele ya Battalion Baraza akiwepo C.O wa kikosi.. baada ya lile baraza mambo yalikuwa magumu sana , kula tu kwa mzabuni ni mizani , kulala ikawa ratiba haieleweki.
Pia kuna fala alitaka kuruti waangalie kampeni za uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njaa ilikua kali sana mzee hivi nyie si mlikua kwenye Hanga la 'mabati' jirani yetu au mlikuwa kule kwenye mahanga ya kujenga.?Salute kwake basta, ndiye aliyenipaga connection ya kubasti pale, na kuvizia ukoko kule jikoni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], tulikuwaga tunakusanya ukoko wa kutosha zeni tunauficha kwenye kilasketi fulani hiv mwamba alipenyaga nacho kihuni ck wanampokea. Alafu tukawa tukitoka uwanja wa damu mida ya kulala ndo tunaanza kula ukoko wetu[emoji38][emoji38], muda huo unakuta ubao unasoma balaaa
Mkuu me siku ile nilikuwa busy na kuangalia magari yanayokuja kutubeba. Haki kati ya moment ilikuwa ya kipekee n ile tunasubiria magari ya kutubeba, nilikuwaga nimemc kupgisha mziki kwenye kisimu changu ki-itel ila mzuka ulikata baada ya kunisogezea memory card yangu. Yani nilijihisi nimepungukiwa vitu vingiii, but bado nilikuwa nawaza nitakavyopokelewa nyumbani😁Ulokosa raha mkuu[emoji23] siku ya mahafali serengeti walichezea sana rungu la kipepe. Trust me wengi wao wakiwa first year walitoa mimba au wana watoto wakubwa muda huu na ukimwi maana maafande pia walijipimia .. ule muda tunasomewa route mabasi yamepaki (kipaumbele waliokosea kuomba mkopo) behind the scene tulikua tunakula pisi zetu huko vichakani [emoji23][emoji23]
Tulikuwa kwenye yamabati mkuu ni hatarii😆Njaa ilikua kali sana mzee hivi nyie si mlikua kwenye Hanga la 'mabati' jirani yetu au mlikuwa kule kwenye mahanga ya kujenga.?
Anajibu huku anapiga salute 😆😆, jeshini ukiwa na cheo kikubwa raha sanaaa, et kabustani🤣🤣🤣Mimi nilikuwa kambi ya Mlale 842KJ operesheni miaka 20 ya Azimio la Arusha mwaka 1987/1988.Tulianza na CO Lt Col Kajembe baadaye akaja mbabe Col. Charles F Mtono,Siku moja alikuja Mkuu wa JKT Meja Jenerali Nelson Mkisi wakamtembeza kwenye shamba la Embakasi lenye hekari 800 basi Mkisi alipoliona limestawi mahindi akafurahi na kumsifia CO na makamanda wake halafu akauliza swali "Safi sana CO haka ni kabustani la kombania gani!"CO akajibu kuwa ni shamba la kikosi basi Mkisi alimaind ikabidi tuanze operesheni ya upanuzi wa shamba kwa kuongeza hekari zingine 400.
Umenikumbusha yule afande wa kujila tuliyempa jina la koboko sijui kama unamkumbuka
Hahaha walipiga memory ? [emoji23][emoji23]Mkuu me siku ile nilikuwa busy na kuangalia magari yanayokuja kutubeba. Haki kati ya moment ilikuwa ya kipekee n ile tunasubiria magari ya kutubeba, nilikuwaga nimemc kupgisha mziki kwenye kisimu changu ki-itel ila mzuka ulikata baada ya kunisogezea memory card yangu. Yani nilijihisi nimepungukiwa vitu vingiii, but bado nilikuwa nawaza nitakavyopokelewa nyumbani[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanzoni tulikuwa tunamwaga chakula yanii ugali nyamaa Dustbin limejaaa chakulaa maafande wakaswma Ngurutu haya matusi yatakomaa tu... Aisee ile six week ma da will wenyewe ugali ulikuwa hauwatosho yanii dustbin zilikuwa zinakuwaa nyeupee yani njaa ilikuwa inagongaa hasa.. Nilikuwa mpishi yani nikawa maarufu ghafla... Nimemvuna sanaa mzabuni aisee chakula changu ilikuwa nyama walii..mkate na karangaaa.823 kj msange ,op miaka 50 ya JKT ,D-coy
kuna siku nlikua naenda duka la kikosi kukanunulia zawadi ka crush kangu kalinielewa sana kale kadada adi kakatuma washkaji,sa sku iyo tumepata mwanya kombania nikapanga nikaone kwa iyo nkasema ngoja nienden duka la kikosi nipo na mzuka hatari kunanunulia zawadi nkakuta foleni ya mstari, nkasema tu kwa sauti ya kawaida tu 'asee kuna foleni sana ntarudi bdae' pembeni kulikua na private mfupi kavaa half combat na ilikua mida ya jioni kumbe kaniskia bana, nikasikia mtu kanishika kwa nyuma nikala fingerprints za mgongo, mara kibao, nkakaa attention kupambana maana tulikua katikati ya kozi na nlikua najiweza sana tu, kugeuka nakuta ka private flani hvi kapenda sifa hakana hata mwili, nlitaka nikachote ila nkakumbuka mahabusu ukizingatia pia ni senior wangu nkavunga, basi nkala doso pale! kakaniacha, na hamua ya kumuona yule manzi ikaisha hapo nkarudi kombania
siku nyingine ya gwaride na drills zote za kurudia rudia , mnakosea mnapewa ruti, nlikua naumwa kifua kipindi hcho lakini kazi kazi watu hawaelewi, tukapewa ruti kuzunguka kikosi alafu wanakaa baadhi ya maeneo wanakata kibangala cha watano wa mwisho hao ruti yao ndo imeishia hapo wanapigwa doso balaa, tumemaliza mda wa lunch tumefoleni tunasubiri msosi tukaambiwa moto umewaka pori la kikosi tukazime kwanza , tumeenda tumezima tunarudi kambini jioni jua linazama tukapewa chakula cha mchana na usiki hapohapo me nlishindwa kula kabisa nkanywa maji tu na tonge 3, lakini cha ajabu sikuskia njaa mpaka kesho yake mda wa chai
kuna pisi moja hivi ya mzabuni ilikua inatugawia chakula kombania yetu, siku nimeenda na plate yangu akanipakulia chakula alafu akaanita jina langu 'flani' uku ananipakulia chakula mpaka leo sijui alijuaje jina langu, hata kwenye platoon yangu wengi tulikua hatujuani majina, hatukua na mda wa kusocialize sio siri ila sura tu ndo tunajuana
Daa heka 800 anaita bustani ?[emoji23][emoji23]Mimi nilikuwa kambi ya Mlale 842KJ operesheni miaka 20 ya Azimio la Arusha mwaka 1987/1988.Tulianza na CO Lt Col Kajembe baadaye akaja mbabe Col. Charles F Mtono,Siku moja alikuja Mkuu wa JKT Meja Jenerali Nelson Mkisi wakamtembeza kwenye shamba la Embakasi lenye hekari 800 basi Mkisi alipoliona limestawi mahindi akafurahi na kumsifia CO na makamanda wake halafu akauliza swali "Safi sana CO haka ni kabustani la kombania gani!"CO akajibu kuwa ni shamba la kikosi basi Mkisi alimaind ikabidi tuanze operesheni ya upanuzi wa shamba kwa kuongeza hekari zingine 400.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ilaa wazee wale huwaga wanavuta bhangi sijuiiMimi nilikuwa kambi ya Mlale 842KJ operesheni miaka 20 ya Azimio la Arusha mwaka 1987/1988.Tulianza na CO Lt Col Kajembe baadaye akaja mbabe Col. Charles F Mtono,Siku moja alikuja Mkuu wa JKT Meja Jenerali Nelson Mkisi wakamtembeza kwenye shamba la Embakasi lenye hekari 800 basi Mkisi alipoliona limestawi mahindi akafurahi na kumsifia CO na makamanda wake halafu akauliza swali "Safi sana CO haka ni kabustani la kombania gani!"CO akajibu kuwa ni shamba la kikosi basi Mkisi alimaind ikabidi tuanze operesheni ya upanuzi wa shamba kwa kuongeza hekari zingine 400.
kuna mashine zilikua zenyewe zinajiweka mwisho kila foleni ya msosi, yaani zilkiua zikikuta ata kama chakula kimebaki nusu debe zitaongea na wale wagawaji zisepe nao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanzoni tulikuwa tunamwaga chakula yanii ugali nyamaa Dustbin limejaaa chakulaa maafande wakaswma Ngurutu haya matusi yatakomaa tu... Aisee ile six week ma da will wenyewe ugali ulikuwa hauwatosho yanii dustbin zilikuwa zinakuwaa nyeupee yani njaa ilikuwa inagongaa hasa.. Nilikuwa mpishi yani nikawa maarufu ghafla... Nimemvuna sanaa mzabuni aisee chakula changu ilikuwa nyama walii..mkate na karangaaa.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app