last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Duu afande hassan mzee wa kigugumizYani Kenge sana danger coy ndo ikawa kama gerezaa...Kina afande hassan aisee walinyoosha watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demu mbovu hasa yule afande nae kweli kila mtu na macho yake. Kuna kidemu kilikuwa ni Kimatron sema in service bado kalikuwa kanatembea na Maofisa wakike wenye vyeo hivi jamani yule demu ni mzurii hapana aisee nashindwa kumsahau...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afadhali angekula yule
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Viafande visivyo na mwili huwa viko inferior , sema ukikizabua kijiji kikaja huna bahati hiyo siku na huenda ukarudi home maiti au kilema.823 kj msange ,op miaka 50 ya JKT ,D-coy
kuna siku nlikua naenda duka la kikosi kukanunulia zawadi ka crush kangu kalinielewa sana kale kadada adi kakatuma washkaji,sa sku iyo tumepata mwanya kombania nikapanga nikaone kwa iyo nkasema ngoja nienden duka la kikosi nipo na mzuka hatari kunanunulia zawadi nkakuta foleni ya mstari, nkasema tu kwa sauti ya kawaida tu 'asee kuna foleni sana ntarudi bdae' pembeni kulikua na private mfupi kavaa half combat na ilikua mida ya jioni kumbe kaniskia bana, nikasikia mtu kanishika kwa nyuma nikala fingerprints za mgongo, mara kibao, nkakaa attention kupambana maana tulikua katikati ya kozi na nlikua najiweza sana tu, kugeuka nakuta ka private flani hvi kapenda sifa hakana hata mwili, nlitaka nikachote ila nkakumbuka mahabusu ukizingatia pia ni senior wangu nkavunga, basi nkala doso pale! kakaniacha, na hamua ya kumuona yule manzi ikaisha hapo nkarudi kombania
siku nyingine ya gwaride na drills zote za kurudia rudia , mnakosea mnapewa ruti, nlikua naumwa kifua kipindi hcho lakini kazi kazi watu hawaelewi, tukapewa ruti kuzunguka kikosi alafu wanakaa baadhi ya maeneo wanakata kibangala cha watano wa mwisho hao ruti yao ndo imeishia hapo wanapigwa doso balaa, tumemaliza mda wa lunch tumefoleni tunasubiri msosi tukaambiwa moto umewaka pori la kikosi tukazime kwanza , tumeenda tumezima tunarudi kambini jioni jua linazama tukapewa chakula cha mchana na usiki hapohapo me nlishindwa kula kabisa nkanywa maji tu na tonge 3, lakini cha ajabu sikuskia njaa mpaka kesho yake mda wa chai
kuna pisi moja hivi ya mzabuni ilikua inatugawia chakula kombania yetu, siku nimeenda na plate yangu akanipakulia chakula alafu akaanita jina langu 'flani' uku ananipakulia chakula mpaka leo sijui alijuaje jina langu, hata kwenye platoon yangu wengi tulikua hatujuani majina, hatukua na mda wa kusocialize sio siri ila sura tu ndo tunajuana
Kwa bojo diwawala,na komsangaKikosi chetu Mgambo chapendeza, kiko mkoa wa Tanga wilaya ni Handeni
Ni kikosi cha mafunzo ya kijeshi, yale ya awali...
........
........
We tulikuwa wote,unakumbuka ile siku ya pori kibangala kilivyopiteana,,Mkuu ni 835 KJ sio 832 KJ,
Op ya miaka 50 ya Muungano hapo hapo Mgambo, enzo hizo mzabuni ni Kimbinyiko,
CO ni Meja kanole, captain ni Mberenje, Luteni Masalu RSM muuya, afande mkorofi alikuwa kashoza, Sam na Tungu (MP)
Tumevuna sana mahindi
Tumekula sana dose
Tumenyeshewa sana mvua
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haa ha ha.. Ukoko tulikuwa tunaweza kwenye ndoo za chooni asubuhi tunaruka naoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]kuna mashine zilikua zenyewe zinajiweka mwisho kila foleni ya msosi, yaani zilkiua zikikuta ata kama chakula kimebaki nusu debe zitaongea na wale wagawaji zisepe nao
Kweli aisee baada ya kuisha uzalendo na kufungua kozi Dustbin zinakauka hadi kunguru wanaona hapa hatuna chetu tena.[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanzoni tulikuwa tunamwaga chakula yanii ugali nyamaa Dustbin limejaaa chakulaa maafande wakaswma Ngurutu haya matusi yatakomaa tu... Aisee ile six week ma da will wenyewe ugali ulikuwa hauwatosho yanii dustbin zilikuwa zinakuwaa nyeupee yani njaa ilikuwa inagongaa hasa.. Nilikuwa mpishi yani nikawa maarufu ghafla... Nimemvuna sanaa mzabuni aisee chakula changu ilikuwa nyama walii..mkate na karangaaa.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ulikuwa danger Coy nini mkala doso shambaniii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yale mashamba yapo chini ya Coy zetu kule kisimani..We tulikuwa wote,unakumbuka ile siku ya pori kibangala kilivyopiteana,,
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ulikuwepo hapo mwaka gani mkuu??
Watu walikuwa wanabust balaa...Coupon wengine tulirudi nazo nyumbani kwenye mabegi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]DadekiiKweli aisee baada ya kuisha uzalendo na kufungua kozi Dustbin zinakauka hadi kunguru wanaona hapa hatuna chetu tena.[emoji23]
Nilikuwa sipendi Mabio ya kupitia kule Rest house mpaka kwa msange na kurudi yanii aisee... sema baadae nikafanikiwa kudoji mabio mamaee yalinikausha sanaa
me mwenyewe nkawaza haya maswala ya kuwekeana bifu apa unaeza rudi maiti, kuna mwamba walimvunja mbavu hivihiviViafande visivyo na mwili huwa viko inferior , sema ukikizabua kijiji kikaja huna bahati hiyo siku na huenda ukarudi home maiti au kilema.
Me nilikuwa Alpha mzee,,Ulikuwa danger Coy nini mkala doso shambaniii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yale mashamba yapo chini ya Coy zetu kule kisimani..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Uelekeo wapi??Nilikuwa sipendi Mabio ya kupitia kule Rest house mpaka kwa msange na kurudi yanii aisee... sema baadae nikafanikiwa kudoji mabio mamaee yalinikausha sanaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Asee bro mimm pia nilikua Msange 823 KJ OP Miaka 50 ya JKT, nilikua C Coy na akina Afande Simkoko[emoji1787][emoji1787]. Memories nyingi sana kwa kweli. Nakumbuka ile siku tulipewa root ndefu kishenzi ya kukimbia, root inaitwa Mbola Matola[emoji1787][emoji1787]. Iyo siku nilirudi mwili mzima umejaa Chumvi. Amna tusi niliacha kutuka uko njiani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]823 kj msange ,op miaka 50 ya JKT ,D-coy
kuna siku nlikua naenda duka la kikosi kukanunulia zawadi ka crush kangu kalinielewa sana kale kadada adi kakatuma washkaji,sa sku iyo tumepata mwanya kombania nikapanga nikaone kwa iyo nkasema ngoja nienden duka la kikosi nipo na mzuka hatari kunanunulia zawadi nkakuta foleni ya mstari, nkasema tu kwa sauti ya kawaida tu 'asee kuna foleni sana ntarudi bdae' pembeni kulikua na private mfupi kavaa half combat na ilikua mida ya jioni kumbe kaniskia bana, nikasikia mtu kanishika kwa nyuma nikala fingerprints za mgongo, mara kibao, nkakaa attention kupambana maana tulikua katikati ya kozi na nlikua najiweza sana tu, kugeuka nakuta ka private flani hvi kapenda sifa hakana hata mwili, nlitaka nikachote ila nkakumbuka mahabusu ukizingatia pia ni senior wangu nkavunga, basi nkala doso pale! kakaniacha, na hamua ya kumuona yule manzi ikaisha hapo nkarudi kombania
siku nyingine ya gwaride na drills zote za kurudia rudia , mnakosea mnapewa ruti, nlikua naumwa kifua kipindi hcho lakini kazi kazi watu hawaelewi, tukapewa ruti kuzunguka kikosi alafu wanakaa baadhi ya maeneo wanakata kibangala cha watano wa mwisho hao ruti yao ndo imeishia hapo wanapigwa doso balaa, tumemaliza mda wa lunch tumefoleni tunasubiri msosi tukaambiwa moto umewaka pori la kikosi tukazime kwanza , tumeenda tumezima tunarudi kambini jioni jua linazama tukapewa chakula cha mchana na usiki hapohapo me nlishindwa kula kabisa nkanywa maji tu na tonge 3, lakini cha ajabu sikuskia njaa mpaka kesho yake mda wa chai
kuna pisi moja hivi ya mzabuni ilikua inatugawia chakula kombania yetu, siku nimeenda na plate yangu akanipakulia chakula alafu akaanita jina langu 'flani' uku ananipakulia chakula mpaka leo sijui alijuaje jina langu, hata kwenye platoon yangu wengi tulikua hatujuani majina, hatukua na mda wa kusocialize sio siri ila sura tu ndo tunajuana
Kuna ile route unaenda kabuku mzee,nilikuwa nailaani sanaNilikuwa sipendi Mabio ya kupitia kule Rest house mpaka kwa msange na kurudi yanii aisee... sema baadae nikafanikiwa kudoji mabio mamaee yalinikausha sanaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
duu iyo kaliHaa ha ha.. Ukoko tulikuwa tunaweza kwenye ndoo za chooni asubuhi tunaruka naoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Waniibia nilivoenda kuchajisha simu, si unajua kule ukiibiwa kitu unasema nimesogezewa, kauli ya kuiba ilikuwa n marufuku kuitumia, et wanajeshi siyo wezi wamekusogezea tu wakitumia watakurudishia.Hahaha walipiga memory ? [emoji23][emoji23]
simkoko alikua anapenda sana chenja, c coy walikua majirani zetu usawa wa kombania, na h coyAsee bro mimm pia nilikua Msange 823 KJ OP Miaka 50 ya JKT, nilikua C Coy na akina Afande Simkoko[emoji1787][emoji1787]. Memories nyingi sana kwa kweli. Nakumbuka ile siku tulipewa root ndefu kishenzi ya kukimbia, root inaitwa Mbola Matola[emoji1787][emoji1787]. Iyo siku nilirudi mwili mzima umejaa Chumvi. Amna tusi niliacha kutuka uko njiani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]