Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Yani Kenge sana danger coy ndo ikawa kama gerezaa...Kina afande hassan aisee walinyoosha watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demu mbovu hasa yule afande nae kweli kila mtu na macho yake. Kuna kidemu kilikuwa ni Kimatron sema in service bado kalikuwa kanatembea na Maofisa wakike wenye vyeo hivi jamani yule demu ni mzurii hapana aisee nashindwa kumsahau...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afadhali angekula yule

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Duu afande hassan mzee wa kigugumiz

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
823 kj msange ,op miaka 50 ya JKT ,D-coy

kuna siku nlikua naenda duka la kikosi kukanunulia zawadi ka crush kangu kalinielewa sana kale kadada adi kakatuma washkaji,sa sku iyo tumepata mwanya kombania nikapanga nikaone kwa iyo nkasema ngoja nienden duka la kikosi nipo na mzuka hatari kunanunulia zawadi nkakuta foleni ya mstari, nkasema tu kwa sauti ya kawaida tu 'asee kuna foleni sana ntarudi bdae' pembeni kulikua na private mfupi kavaa half combat na ilikua mida ya jioni kumbe kaniskia bana, nikasikia mtu kanishika kwa nyuma nikala fingerprints za mgongo, mara kibao, nkakaa attention kupambana maana tulikua katikati ya kozi na nlikua najiweza sana tu, kugeuka nakuta ka private flani hvi kapenda sifa hakana hata mwili, nlitaka nikachote ila nkakumbuka mahabusu ukizingatia pia ni senior wangu nkavunga, basi nkala doso pale! kakaniacha, na hamua ya kumuona yule manzi ikaisha hapo nkarudi kombania

siku nyingine ya gwaride na drills zote za kurudia rudia , mnakosea mnapewa ruti, nlikua naumwa kifua kipindi hcho lakini kazi kazi watu hawaelewi, tukapewa ruti kuzunguka kikosi alafu wanakaa baadhi ya maeneo wanakata kibangala cha watano wa mwisho hao ruti yao ndo imeishia hapo wanapigwa doso balaa, tumemaliza mda wa lunch tumefoleni tunasubiri msosi tukaambiwa moto umewaka pori la kikosi tukazime kwanza , tumeenda tumezima tunarudi kambini jioni jua linazama tukapewa chakula cha mchana na usiki hapohapo me nlishindwa kula kabisa nkanywa maji tu na tonge 3, lakini cha ajabu sikuskia njaa mpaka kesho yake mda wa chai

kuna pisi moja hivi ya mzabuni ilikua inatugawia chakula kombania yetu, siku nimeenda na plate yangu akanipakulia chakula alafu akaanita jina langu 'flani' uku ananipakulia chakula mpaka leo sijui alijuaje jina langu, hata kwenye platoon yangu wengi tulikua hatujuani majina, hatukua na mda wa kusocialize sio siri ila sura tu ndo tunajuana
Viafande visivyo na mwili huwa viko inferior , sema ukikizabua kijiji kikaja huna bahati hiyo siku na huenda ukarudi home maiti au kilema.
 
Mkuu ni 835 KJ sio 832 KJ,

Op ya miaka 50 ya Muungano hapo hapo Mgambo, enzo hizo mzabuni ni Kimbinyiko,
CO ni Meja kanole, captain ni Mberenje, Luteni Masalu RSM muuya, afande mkorofi alikuwa kashoza, Sam na Tungu (MP)

Tumevuna sana mahindi
Tumekula sana dose
Tumenyeshewa sana mvua

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We tulikuwa wote,unakumbuka ile siku ya pori kibangala kilivyopiteana,,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
kuna mashine zilikua zenyewe zinajiweka mwisho kila foleni ya msosi, yaani zilkiua zikikuta ata kama chakula kimebaki nusu debe zitaongea na wale wagawaji zisepe nao
Haa ha ha.. Ukoko tulikuwa tunaweza kwenye ndoo za chooni asubuhi tunaruka naoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanzoni tulikuwa tunamwaga chakula yanii ugali nyamaa Dustbin limejaaa chakulaa maafande wakaswma Ngurutu haya matusi yatakomaa tu... Aisee ile six week ma da will wenyewe ugali ulikuwa hauwatosho yanii dustbin zilikuwa zinakuwaa nyeupee yani njaa ilikuwa inagongaa hasa.. Nilikuwa mpishi yani nikawa maarufu ghafla... Nimemvuna sanaa mzabuni aisee chakula changu ilikuwa nyama walii..mkate na karangaaa.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kweli aisee baada ya kuisha uzalendo na kufungua kozi Dustbin zinakauka hadi kunguru wanaona hapa hatuna chetu tena.[emoji23]
 
823 kj msange ,op miaka 50 ya JKT ,D-coy

kuna siku nlikua naenda duka la kikosi kukanunulia zawadi ka crush kangu kalinielewa sana kale kadada adi kakatuma washkaji,sa sku iyo tumepata mwanya kombania nikapanga nikaone kwa iyo nkasema ngoja nienden duka la kikosi nipo na mzuka hatari kunanunulia zawadi nkakuta foleni ya mstari, nkasema tu kwa sauti ya kawaida tu 'asee kuna foleni sana ntarudi bdae' pembeni kulikua na private mfupi kavaa half combat na ilikua mida ya jioni kumbe kaniskia bana, nikasikia mtu kanishika kwa nyuma nikala fingerprints za mgongo, mara kibao, nkakaa attention kupambana maana tulikua katikati ya kozi na nlikua najiweza sana tu, kugeuka nakuta ka private flani hvi kapenda sifa hakana hata mwili, nlitaka nikachote ila nkakumbuka mahabusu ukizingatia pia ni senior wangu nkavunga, basi nkala doso pale! kakaniacha, na hamua ya kumuona yule manzi ikaisha hapo nkarudi kombania

siku nyingine ya gwaride na drills zote za kurudia rudia , mnakosea mnapewa ruti, nlikua naumwa kifua kipindi hcho lakini kazi kazi watu hawaelewi, tukapewa ruti kuzunguka kikosi alafu wanakaa baadhi ya maeneo wanakata kibangala cha watano wa mwisho hao ruti yao ndo imeishia hapo wanapigwa doso balaa, tumemaliza mda wa lunch tumefoleni tunasubiri msosi tukaambiwa moto umewaka pori la kikosi tukazime kwanza , tumeenda tumezima tunarudi kambini jioni jua linazama tukapewa chakula cha mchana na usiki hapohapo me nlishindwa kula kabisa nkanywa maji tu na tonge 3, lakini cha ajabu sikuskia njaa mpaka kesho yake mda wa chai

kuna pisi moja hivi ya mzabuni ilikua inatugawia chakula kombania yetu, siku nimeenda na plate yangu akanipakulia chakula alafu akaanita jina langu 'flani' uku ananipakulia chakula mpaka leo sijui alijuaje jina langu, hata kwenye platoon yangu wengi tulikua hatujuani majina, hatukua na mda wa kusocialize sio siri ila sura tu ndo tunajuana
Asee bro mimm pia nilikua Msange 823 KJ OP Miaka 50 ya JKT, nilikua C Coy na akina Afande Simkoko[emoji1787][emoji1787]. Memories nyingi sana kwa kweli. Nakumbuka ile siku tulipewa root ndefu kishenzi ya kukimbia, root inaitwa Mbola Matola[emoji1787][emoji1787]. Iyo siku nilirudi mwili mzima umejaa Chumvi. Amna tusi niliacha kutuka uko njiani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha walipiga memory ? [emoji23][emoji23]
Waniibia nilivoenda kuchajisha simu, si unajua kule ukiibiwa kitu unasema nimesogezewa, kauli ya kuiba ilikuwa n marufuku kuitumia, et wanajeshi siyo wezi wamekusogezea tu wakitumia watakurudishia.
Na ukweli wa Mungu nikiwa pale, siku moja tumepewa utawala wahuni wengne wakalala, sisi tukaenda ziwani kuoga na kufua, tulivyorud nguo hazijakauka tukazianika, yani naingia tu hangani na kutoka nakuta nguo hazipo mashuka na blanket, yani kama vile naota, kuangalia vzr sioni aliyeiba alafu wahuni waliokuwa wamekaa pale wala hawaonyeshi dalili yoyote kama kuna swala limetendeka. Niliwaza sasa nitafanyaje wameiba bukta, na boxer zote nne, nilikuwa nimevaa pitshort bila boxer coz nmezifua zote😁, niliwaza nifanyajeee? Nikajisemea tu moyoni kuwa inabidi nijiongeze tu hakuna namna. Ule muda wa kufoleni kwa ajiri ya msosi nikamtanguliza rafk yangu na vyombo mm nikabaki hangani mwanaume nataka kufanya jambo😄, walivyotoka wote nikachungulia ule upande C coy walikuwa wanaanika nguo zao nikaona zipo nyingi alafu hakuna mtu bc mwanaume nikaenda nikajichukulia singlendi mbili, boxer tatu za watu tofaut, mashuka mawili na blanket nikarud hangani mwetu nikatandika vzr blanket nikalikunja kaseti style nikaenda kufukuzia msosi. Jioni nilisikia C koi watu wanalalamika kule, eti D coy tunawaibia.
Muda wa uck C coy wakapewa doso la adabu et kwanini wakisogezewa nguo wanalia lia inamana mbinu za kivita hawajazielewa😁
But nilikuja kubabuka mwili nahis kat ya wale niliowaibiaga kuna mmojawapo alikuwa na maradhi ya ngozi, mpk now kuna ugonjwa wa ngozi huwa unanisumbua, nimetembea hospital nying mpk nikachoka, nmekunywa dawa nying mpk ndani nikawa kama muuza madawa yalivyokuwa mengi. Tiba asili wamenipga hela nao balaaaa.
Mpk saiz najuta kuiba zile nguo. Sema nilikuwa sina chaguo🤣🤣🤣🤣
 
Asee bro mimm pia nilikua Msange 823 KJ OP Miaka 50 ya JKT, nilikua C Coy na akina Afande Simkoko[emoji1787][emoji1787]. Memories nyingi sana kwa kweli. Nakumbuka ile siku tulipewa root ndefu kishenzi ya kukimbia, root inaitwa Mbola Matola[emoji1787][emoji1787]. Iyo siku nilirudi mwili mzima umejaa Chumvi. Amna tusi niliacha kutuka uko njiani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
simkoko alikua anapenda sana chenja, c coy walikua majirani zetu usawa wa kombania, na h coy
 
Back
Top Bottom