Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

[emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka hilo tifu la uzembe tulichezeshewa C coy. Halafu wazee wa kuhamisha walikua wale maservice.
 
Daaa 842 Mlale kj..... Op kikwete!!!!
2015.....Basta Nilie kubuhu...

Hyo siku hali ya hewa ilikua ya Mvua Mvua Hiv!!... Sasa nikabast wali pale mess ila sikuweka maharage.Ila ule wali niliuweka kwenye mfuko wa kombati, , ,

Nikaosha sahan vizur tu!!!! Sasa inshu ikaja nilipochukua tena' msosi.....kuna private mmoja alikua anaitwa Joshua Muhando..... Akanizuia''''' baada ya kuona Ninafuka moshi mfukoni!!!!!..

Akaniuliza we kurutu'' ni nin hiko!!!! Nikamjibu kofia hii afande!!! .....Asibwatuke kwa nin!!

Nikasikia Babaaa Njoon muone kofia inafuka mosh!!!! ....mala makamanda wakajaa + Mp'''''''...kunigusa hivi ni wali nilibast na mwingine nimeushika!!!!!

Daah wazee ile moment siisahau!!! Nilkula doso''''' kuanzia kushona madhubut!!!!!.....Push"up za kuweka mikono X na Nyuma mguu unanyanyuka scorpion!![emoji28]

Nikanyonya mafuta!!!!!....Zen push"up za mjusi wa nigeria!!! Bila kusahau kenge wa pakstan!!!! Ile unalala chini unaishika miguu na kuivuta afu unatembelea Tumbo!!!.. Nyuma kuna bakola zinakuja ....

Sitawasahau...Makamanda wa Bravo..... Mahamudu.....Muhando....Ulio!!!.. Mzee Gama...... Mahanga!!!!!......

Kina luten ~Lymo!!!! Almas!!! .....

Nadhan mpka leo Dish langu halijakaa sawa''''' JKT ilikua Noooma Wazee Lazima ukomae::::
 

Kenge wa Pakistan [emoji23][emoji23]daah umenikumbusha 822kj!!!
 
Siku ya intro kombania yetu ndio ilienyeka zaidi mkafuatia kati ya nyie au bravo-coy. Kombania zingine walikuwa wala bata wakiongozwa na A-coy wazee wa kukalia ndoo ili wasichafuke
 
Hahaha,ulikuwa danger coy,namkumbuka sana.Afande ndoshi,cpro dullah yule mlevi,tito,makwaya na wengine.Mimi nilikuwa St aga mchanganyiko kama unalikumbuka
Nalikumbuka mkuu si lilikuwa la jengo sio la mabati kama la kwetu?
 
Kuna fala mwingine alilalamika eti maandazi ni madogo akafanya tuongezewe six week

ila aliyeniboa zaidi ni yule kuruti aliyekufaga ziwani akasababisha tuzuiwe kuogelea tukawa tunaenda na ndoo
 
Njaa ilikua kali sana mzee hivi nyie si mlikua kwenye Hanga la 'mabati' jirani yetu au mlikuwa kule kwenye mahanga ya kujenga.?
Yeah tulikuwa wote kule chini na milango yetu ilikuwa inatazamana. Muda wa kulala tunasikia mnawachapa sitiki madoja waliosababisha msitimie kwenye roll call ya usiku😄😄
 
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee ulitaka ubast mara 3 au??????? Nimecheka sanaa...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] jeshini kubasti hukatazwi ila wakikushika ndo utajuta.
 
Siku ya intro kombania yetu ndio ilienyeka zaidi mkafuatia kati ya nyie au bravo-coy. Kombania zingine walikuwa wala bata wakiongozwa na A-coy wazee wa kukalia ndoo ili wasichafuke
Bravo japo sisi pia tuliiva ila naweza sema kwenye Kozi ile 2015 hakuna kombania waliteseka mpaka mwisho kama B coy. Walikua na maafande wanaa na ni makorofi sana, kwanza mpk kugraduate maafande wao wengi walikua mahabusu maana walizibua sana maserengeti viherehere.

Kuna time kombania zote zinapiga chenja ila ukiwacheki bravo pale ni watu wamekunja ngumi au mtu kabeba dunia. Kiufupi jamaa walitoka wameiva kwenye physic.

A coy mafala kweli yale wazee wa ndoo [emoji23][emoji23]
 
Mzee acha tu!!! Kuna kipindi msoc ulikua unapungua mpka makamanda wakaingia kupika!!!

Sasa ile hasira ndo wakanikamata basta wa demo[emoji23][emoji23]
 
kale kamsemo Cha kuambiwa kulala kwenye sofa,kumbe unalala ndani ya tank la maji[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…