Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Waniibia nilivoenda kuchajisha simu, si unajua kule ukiibiwa kitu unasema nimesogezewa, kauli ya kuiba ilikuwa n marufuku kuitumia, et wanajeshi siyo wezi wamekusogezea tu wakitumia watakurudishia.
Na ukweli wa Mungu nikiwa pale, siku moja tumepewa utawala wahuni wengne wakalala, sisi tukaenda ziwani kuoga na kufua, tulivyorud nguo hazijakauka tukazianika, yani naingia tu hangani na kutoka nakuta nguo hazipo mashuka na blanket, yani kama vile naota, kuangalia vzr sioni aliyeiba alafu wahuni waliokuwa wamekaa pale wala hawaonyeshi dalili yoyote kama kuna swala limetendeka. Niliwaza sasa nitafanyaje wameiba bukta, na boxer zote nne, nilikuwa nimevaa pitshort bila boxer coz nmezifua zote[emoji16], niliwaza nifanyajeee? Nikajisemea tu moyoni kuwa inabidi nijiongeze tu hakuna namna. Ule muda wa kufoleni kwa ajiri ya msosi nikamtanguliza rafk yangu na vyombo mm nikabaki hangani mwanaume nataka kufanya jambo[emoji1], walivyotoka wote nikachungulia ule upande C coy walikuwa wanaanika nguo zao nikaona zipo nyingi alafu hakuna mtu bc mwanaume nikaenda nikajichukulia singlendi mbili, boxer tatu za watu tofaut, mashuka mawili na blanket nikarud hangani mwetu nikatandika vzr blanket nikalikunja kaseti style nikaenda kufukuzia msosi. Jioni nilisikia C koi watu wanalalamika kule, eti D coy tunawaibia.
Muda wa uck C coy wakapewa doso la adabu et kwanini wakisogezewa nguo wanalia lia inamana mbinu za kivita hawajazielewa[emoji16]
But nilikuja kubabuka mwili nahis kat ya wale niliowaibiaga kuna mmojawapo alikuwa na maradhi ya ngozi, mpk now kuna ugonjwa wa ngozi huwa unanisumbua, nimetembea hospital nying mpk nikachoka, nmekunywa dawa nying mpk ndani nikawa kama muuza madawa yalivyokuwa mengi. Tiba asili wamenipga hela nao balaaaa.
Mpk saiz najuta kuiba zile nguo. Sema nilikuwa sina chaguo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka hilo tifu la uzembe tulichezeshewa C coy. Halafu wazee wa kuhamisha walikua wale maservice.
 
Daaa 842 Mlale kj..... Op kikwete!!!!
2015.....Basta Nilie kubuhu...

Hyo siku hali ya hewa ilikua ya Mvua Mvua Hiv!!... Sasa nikabast wali pale mess ila sikuweka maharage.Ila ule wali niliuweka kwenye mfuko wa kombati, , ,

Nikaosha sahan vizur tu!!!! Sasa inshu ikaja nilipochukua tena' msosi.....kuna private mmoja alikua anaitwa Joshua Muhando..... Akanizuia''''' baada ya kuona Ninafuka moshi mfukoni!!!!!..

Akaniuliza we kurutu'' ni nin hiko!!!! Nikamjibu kofia hii afande!!! .....Asibwatuke kwa nin!!

Nikasikia Babaaa Njoon muone kofia inafuka mosh!!!! ....mala makamanda wakajaa + Mp'''''''...kunigusa hivi ni wali nilibast na mwingine nimeushika!!!!!

Daah wazee ile moment siisahau!!! Nilkula doso''''' kuanzia kushona madhubut!!!!!.....Push"up za kuweka mikono X na Nyuma mguu unanyanyuka scorpion!![emoji28]

Nikanyonya mafuta!!!!!....Zen push"up za mjusi wa nigeria!!! Bila kusahau kenge wa pakstan!!!! Ile unalala chini unaishika miguu na kuivuta afu unatembelea Tumbo!!!.. Nyuma kuna bakola zinakuja ....

Sitawasahau...Makamanda wa Bravo..... Mahamudu.....Muhando....Ulio!!!.. Mzee Gama...... Mahanga!!!!!......

Kina luten ~Lymo!!!! Almas!!! .....

Nadhan mpka leo Dish langu halijakaa sawa''''' JKT ilikua Noooma Wazee Lazima ukomae::::
 
Daaa 842 Mlale JKT..... Op kikwete!!!!

Kenge wa Pakistan [emoji23][emoji23]daah umenikumbusha 822kj!!!
 
[emoji23][emoji23] kwenye Uzalishaji mali kweli mlikua poa ila usafi mlitupiga pale.

Kuna pisi moja uwanja wa damu siku ya intro nilipenda sana alikua wa D-Coy . Ile siku tuliiva sana kuna yule jamaa wa Hangiing positiiiiiiiiiiiiion , ten minus oneeeeeeee, starting from the righttttttt.... one two three start!
Yule demu ilikua kidogo akate moto aisee afu kile kiza makamanda wanatembeza makofi.
Nikawa nampa backup kiaina aliinjoy kampani jampo kuna mda tulipigwa tifu tukapotezana lile eneo hapo mpka siku moja nikamuona bustanini nikamkumbushia maana nilimkalili ule usiku sababu ya kimwagaza cha mwezi.

Huwezi amini siku ya kugraduate nilikula tunda kule mitaa ya chooni walipotia moto [emoji23][emoji23]
Siku ya intro kombania yetu ndio ilienyeka zaidi mkafuatia kati ya nyie au bravo-coy. Kombania zingine walikuwa wala bata wakiongozwa na A-coy wazee wa kukalia ndoo ili wasichafuke
 
Pia kuna baadhi ya watu huwezi sahau maishani pale Bulombora!

Umemsahau hadi Buster (Basta) aliyeomba tuwe tunapewa maziwa sababu kwenye kombania kuna vumbi??

Mbele ya Battalion Baraza akiwepo C.O wa kikosi.. baada ya lile baraza mambo yalikuwa magumu sana , kula tu kwa mzabuni ni mizani , kulala ikawa ratiba haieleweki.

Pia kuna fala alitaka kuruti waangalie kampeni za uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna fala mwingine alilalamika eti maandazi ni madogo akafanya tuongezewe six week

ila aliyeniboa zaidi ni yule kuruti aliyekufaga ziwani akasababisha tuzuiwe kuogelea tukawa tunaenda na ndoo
 
Njaa ilikua kali sana mzee hivi nyie si mlikua kwenye Hanga la 'mabati' jirani yetu au mlikuwa kule kwenye mahanga ya kujenga.?
Yeah tulikuwa wote kule chini na milango yetu ilikuwa inatazamana. Muda wa kulala tunasikia mnawachapa sitiki madoja waliosababisha msitimie kwenye roll call ya usiku😄😄
 
Daaa 842 Mlale JKT..... Op kikwete!!!!
2015.....Basta Nilie kubuhu...

Hyo siku hali ya hewa ilikua ya Mvua Mvua Hiv!!... Sasa nikabast wali pale mess ila sikuweka maharage.Ila ule wali niliuweka kwenye mfuko wa kombati, , ,

Nikaosha sahan vizur tu!!!! Sasa inshu ikaja nilipochukua tena' msosi.....kuna private mmoja alikua anaitwa Joshua Muhando..... Akanizuia''''' baada ya kuona Ninafuka moshi mfukoni!!!!!..

Akaniuliza we kurutu'' ni nin hiko!!!! Nikamjibu kofia hii afande!!! .....Asibwatuke kwa nin!!

Nikasikia Babaaa Njoon muone kofia inafuka mosh!!!! ....mala makamanda wakajaa + Mp'''''''...kunigusa hivi ni wali nilibast na mwingine nimeushika!!!!!

Daah wazee ile moment siisahau!!! Nilkula doso''''' kuanzia kushona madhubut!!!!!.....Push"up za kuweka mikono X na Nyuma mguu unanyanyuka scorpion!![emoji28]

Nikanyonya mafuta!!!!!....Zen push"up za mjusi wa nigeria!!! Bila kusahau kenge wa pakstan!!!! Ile unalala chini unaishika miguu na kuivuta afu unatembelea Tumbo!!!.. Nyuma kuna bakola zinakuja ....

Sitawasahau...Makamanda wa Bravo..... Mahamudu.....Muhando....Ulio!!!.. Mzee Gama...... Mahanga!!!!!......

Kina luten ~Lymo!!!! Almas!!! .....

Nadhan mpka leo Dish langu halijakaa sawa''''' JKT ilikua Noooma Wazee Lazima ukomae::::
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee ulitaka ubast mara 3 au??????? Nimecheka sanaa...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] jeshini kubasti hukatazwi ila wakikushika ndo utajuta.
 
Siku ya intro kombania yetu ndio ilienyeka zaidi mkafuatia kati ya nyie au bravo-coy. Kombania zingine walikuwa wala bata wakiongozwa na A-coy wazee wa kukalia ndoo ili wasichafuke
Bravo japo sisi pia tuliiva ila naweza sema kwenye Kozi ile 2015 hakuna kombania waliteseka mpaka mwisho kama B coy. Walikua na maafande wanaa na ni makorofi sana, kwanza mpk kugraduate maafande wao wengi walikua mahabusu maana walizibua sana maserengeti viherehere.

Kuna time kombania zote zinapiga chenja ila ukiwacheki bravo pale ni watu wamekunja ngumi au mtu kabeba dunia. Kiufupi jamaa walitoka wameiva kwenye physic.

A coy mafala kweli yale wazee wa ndoo [emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee ulitaka ubast mara 3 au??????? Nimecheka sanaa...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mzee acha tu!!! Kuna kipindi msoc ulikua unapungua mpka makamanda wakaingia kupika!!!

Sasa ile hasira ndo wakanikamata basta wa demo[emoji23][emoji23]
 
kale kamsemo Cha kuambiwa kulala kwenye sofa,kumbe unalala ndani ya tank la maji[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom