Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Sameja SENGA mchaga mmoja hivi ana huruma kichizi yaani anapenda kuongea utamsikia KURUTA JESHI NI GUMU HATA YEYE MWENYEWE HAJAWAHI KULIZOEA
 
LT MASALU bishoo UPM
 
LT MASALU bishoo UPM
Yeah mkuu nilikuwa mujibu sheria, kulikuwa na servicemen wa danger coy manyani na jamaa "jux" ilikuwa chenja inapigwa mwanzo wa mabio mpaka mwisho non stop yani. Japo sikuwahi penda lile life la jeshi kabisa.
 
mimi natamani nijitaje ungenikumbuka ila humu sio salama tena tumeropoka vingi mno.
 
Yale machungwa hayajawahi kukomaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngurutuu wanavamiaa yakiwa mateta kabisa yani. Ulikuwa kombania gani??

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka km mwehu, Yale machungwa yanaliwa huki yanatoa machozi kuna yameonewa, na ngurutu hawana habari. Khaaaaah
 
Six week ile nikikumbuka nlivolala juu ya makaburi ya wakimbizi pale 824kj kanebwa nhsikia kufa ganzi
Hiyo kambi ni kiboko tz nzima,. Kaka angu alienda pale kwa mujibu wa sheria, siku anarudi, mie, mama, na dada zangu tulilia km tunefiwa, kaka anarudi haeleweki yaan akisinulia mateso yake. Hapan kwa kweli lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlikomeshwa enyewe enyewe. Poleeeeh
 
Hapo 835KJ Mgambo, baada ya doso la siku nzima wazalendo tulikuwa hangani tunapiga soga, matusi na story za hapa na pale, kumbe kuna maafande wanasikiliza kwa nje, mdudu sijui kinachoendelea nimejilaza kitanda cha kwanza juu kutoka lango la hanga, kumbe kuna afande kaingia kimya kimya akanishika upara kisha akapiga kibao kisicho na maumivu.. Kurutu si nikajua ni mdudu mwenzangu ananiletea za kuleta, nikaropoka "Usishike kichwa tu kisha unaacha, njoo ushike na MBOO"

Kilichofuata Service Boys mnajua [emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
 
Simkoko MTM?
 
Hiyo kambi ni kiboko tz nzima,. Kaka angu alienda pale kwa mujibu wa sheria, siku anarudi, mie, mama, na dada zangu tulilia km tunefiwa, kaka anarudi haeleweki yaan akisinulia mateso yake. Hapan kwa kweli lol.
Pale ni hatari sana
 
Hahaaa umesema afande magesa yule fala chozi karb linitoke😂, ongezea apo na afande marwa mzee wa mabio
 
Yule sir meja na sauti lake noma, nakumbuka tulienda nae range acha kbs.
 
Yule sir meja na sauti lake noma, nakumbuka tulienda nae range acha kbs.
Jamaa hakosi shabaha aisee. Ila magesa simsahau kamwe. Alitupeleka uwanja Wa damu usiku Wa manane ilipofika saa tisa tukaenda salimia wagonjwa saa Tisa. Huo mwendo tuliondea sijawahi usahau mpaka leo.
 
JKT baada kumaliza six week kazi za kuni,shamba,bustani ilikuwa naenda kwa nadra Sana.

Kitengo ilikuwa ni kuvizia trekta, Land cruiser na Ashok Leyland uelekeo mjini kufata vitu au kupakia mizigo ya kambini.
 
Jamaa hakosi shabaha aisee. Ila magesa simsahau kamwe. Alitupeleka uwanja Wa damu usiku Wa manane ilipofika saa tisa tukaenda salimia wagonjwa saa Tisa. Huo mwendo tuliondea sijawahi usahau mpaka leo.
😂😂Yule fala na overroll lake alikuw anapenda sifa sana usiku alitupeleka chamaji tukatoka huko tukaenda bustan, tukamalizia na uwanja wa dam doso, kisa hatujanunua mandazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi hapa lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…