Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
Dem Lenyew lilkua Jeusi Bayaaa manina zake,...En sku ya Mvua Dahh...Asubuhi yake tukaenda uwanja wa damu hatari yani, kuna dem alkua pembeni yangu..Alkua ananuka mikojo balaa [emoji3][emoji3]OP Kikwete MGAMBO Jk 832 daah dada wili si akamchoma private kuwa anamtaka alafu alikuwa mtoto wa Mkubwa balaa yani yule Private alipiga magoti mbele ya Kurutu 2000 anamuomba yule binti msamaha alafu demu mwenyewe Mbovuu kinomaa Maafande walitukana balaa yani achaa tuu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani baada ya lile tukio Tulikulaaa kazi yanii mateso yale hapanaa ikawa kama Course ya Kadet mamaee week 6 zilikuwa Chungu mnoo kuna siku tulilazwa kwenye Mvua inanyeshaa dadekii kesho yake nikasema wakirudia tena natorokaa yanii napiga mguu kwa mguu mpaka niipate lami...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa baadae nikaja kuwa doja balaa wakagawa vitengo picha linaanza nikakimbilia Upishiii...baadae nikawa nadoji msituni tu sieleweki nipo wapi then nikajiunga Ngoma Coy kwa wazalendo nilikuwa nalala kuanzia asubuhi mpaka jionii naamka kulaa tuu. Nilirudi jeshi shavu hilooo mpaka nikatamani kubaki yani wakanipa na 150k ya nauli enzi hizo za JK mambo safii.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app