Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Dem Lenyew lilkua Jeusi Bayaaa manina zake,...En sku ya Mvua Dahh...Asubuhi yake tukaenda uwanja wa damu hatari yani, kuna dem alkua pembeni yangu..Alkua ananuka mikojo balaa [emoji3][emoji3]
 
Kipele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mweusi ,full kupga watu makofi....mkuu wew ulkua A coy
 
Nipo hapa B coy ya demo OP Kikwete- CO Maj Kanole, kule Maj James, luten Mpume, Luten Lwaga , Luten Karinga , Chenja za MP Paul mzee wa Anita,afande mataly,copro mayai,
Wew jamaa tulkua kombania moja,naweza Kia nakukumbuka....mimi ndo yule doja niliwalaza sa 8 zamu ya afande Bruno [emoji3][emoji3]
 
Dahh wew jamaa tulkua tunawasha moto nyuma kule kwenye vyoo vya C coy...Damn it asee dahh am speechless kwa kweli..Alkuwepo jamaa fulan wa mbeya af mshabik wa chelsea mfupi hvi maneno mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] # I miss those moments asee
 
National service twice🙄🙄🙄
Nothing to say, Naipenda 🇹🇿
 
Itoshe kusema kipele sio mtu mzuri. Nilikuwa na tabia ya kuingia mstari wa watu wa E coy wakati wa chakula ili niwahi kula halaf nkalale kabla ya doso maana danger ilikuwa ya demo. Sasa siku kipele kaninasa dogo wa denja niko Eagle nimetulia. kwanzaa alinshtukia tu maana muonekano wangu ulikuwa lazima utaona sio wa kombania hiyo.
Basi niseme tu kipele ni mtu mbad sana kwa yaliyonikuta.
 
Pole sana mkuu sipati picha kazi uliyokula[emoji23][emoji23][emoji23]. Yule mwamba alitunyanyasa sana, nakumbuka tulikuwa na huyo mwana alikuwa fundi wa kubast, yule mwamba alikuwa pro kwenye hiyo harakati na shambani alikuwa nadra kuonekana, kipe alikuwa anamlia timing tu na yule jamaa hakuna kitu alikuwa anachukia kama kubast zamu yake, kuna siku alimkamata vizuri anabast, yule jamaa aliambiwa ale mpaka ashibe kabisa tani yake[emoji23], shuruba aliyopata kutoka kwa huyo katili hakuna mtu alitamani kubast tena hasa zamu ya kipele, nilijikuta tu nikila mkate mmoja nashiba kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani ikiwa zamu yake hata wazo la kubast haliji!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlikua mnachat na simu? Kweli mlishindikana lol.
 
Dem Lenyew lilkua Jeusi Bayaaa manina zake,...En sku ya Mvua Dahh...Asubuhi yake tukaenda uwanja wa damu hatari yani, kuna dem alkua pembeni yangu..Alkua ananuka mikojo balaa [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah jamani lol
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaah mbavu zinauma hapa lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…