Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Haha Ruvu moja hiyo. Ngoja wale wazee wa kusema eti "Ruvu kambi ya bata tu" waje.

Hawajui hizo bata walikuwa wanakula wagonjwa wa kudumu tu. Wengine wote madoso kama kawa.
 

🤣🤣🤣
 
Haha Ruvu moja hiyo. Ngoja wale wazee wa kusema eti "Ruvu kambi ya bata tu" waje.

Hawajui hizo bata walikuwa wanakula wagonjwa wa kudumu tu. Wengine wote madoso kama kawa.

[emoji81][emoji81][emoji81] hamna kazi nyingi sana pia madoso sio mengi labda wewe uwe jeuri
 
Binafsi nilipita JKT miaka hiyo... 833 KJ OLJORO hiyoooooo. NILICHOGUNDUA NI KWAMBA JKT NI AINA FULANI YA CHEAP LABOUR ILIYOJIFICHA KWENYE MWAMVULI WA UZALENDO.
OVA.
Mkuu utakua umelima sana pale embakas,au umevuna mahindi hapo na kule shamba dunia...Anyways kuna raha yake pia,m nimepita hizi za voda faster za miezi mitatu.
 
Mi nilikuwa nakeleka tu na maovyoovyo, a.k.a Nua na kubeba mistima ya umeme ( Log) . Saa zile naitwa mdudu.
 
Mkuu hili shamba dunia liko maeneo gani?? mimi nilikuwa nimesahau IDETERO, kuna mkuu hapo juu amenikumbusha.
Halafu kuna CHANGARAWE (Kuna lijengo kubwaaa sijui ni hoteli, tulisota sana kipindi linajengwa
op magufuli,,op mayatima pale panaitwa recreation....beba Sana tofali Toka mlima nguruwe ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…