Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Wewe ulikuwa alfa coy au bravo,, kwaya za parokia ya mt 832[emoji23][emoji23] waulize kuruti wa danger na afande wao mwamasangula

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa daah nilikuwaga Danger Coy aise. Afande Mwamasangula alikuwaga na vituko na ule Msemo wake anaoupendaga utasikia "vua suruali watu wale". [emoji1787][emoji1787]
 
op magufuli,,op mayatima pale panaitwa recreation....beba Sana tofali Toka mlima nguruwe ...
841 kikosi cha jeshi [emoji3577] [emoji41]

Fyatua sana tofali kule mlima nguruwe *****

Ushawahi fika kwenye ile nyumba waliomjengea cdf Mwamunyange ile njia kama unaenda idetero? Tulichoma sana kuku wa jeshi kule.

Sema kwa ngazi ya mujibu/kujitolea 841 pa kibabe sana,.. Wengine wote wakina Karma mliangushia kozi tuu [emoji3]
 
Kupakawa majivu usoni na kubeba gogo la Kuni kama RPG begani alaf nazungushwa nalo mchana kutwa zinakua zinapigwa filimbi kila baada ya hatua 5 napiga goti

Hiyo inanihusu Mimi doja sugu nyie wengine mtulie kidogo
Maskani "Jamaica moja", 821 kj,,,.
 
841 kikosi cha jeshi [emoji3577] [emoji41]

Fyatua sana tofali kule mlima nguruwe *****

Ushawahi fika kwenye ile nyumba waliomjengea cdf Mwamunyange ile njia kama unaenda idetero? Tulichoma sana kuku wa jeshi kule.

Sema kwa ngazi ya mujibu/kujitolea 841 pa kibabe sana,.. Wengine wote wakina Karma mliangushia kozi tuu [emoji3]
Hahaaa pa kibabe labda uniambie 821 kj mkuu. Pengine pote pa kawaida tu huko 841 kj cha ajabu sana labda baridi tu.

Maana nasikia hiyo ndiyo kambi pekee ambayo kuruta wa mujibu na uzalendo wanapiga course na combat za service men/girls badala ya pretty short na green vest. Huko nilisikia adhabu kubwa kuliko zote kwa kuruta ni kumwagiwa maji ya baridi.
 
Bulombora labda kilimo tu ambacho hata 841 kuna mashamba dunia hayo yanatisha [emoji3]

Mkifika pale kuruti mnachukua mgao wa blanket, soksi nzito za jeshi, sweater la jeshi na karanga za Jkt, ile baridi ni mwisho.

Kupigwa nua ndo adhabu kubwa pale, ukidoji mabio unakula ndoo zako za maji za kushato tu [emoji23], ukitoka hapo unatetemeka kama kuku.
 
Mabio ya asubuhi yalikuwa yanakera kinoma Yani ukizingatia na hali ya baridi ya Mafinga [emoji23][emoji23] enzi hizo 2019 841 KJ Operation Makao Makuu Dodoma
2019!! [emoji3] aisee kurutu embu salimia maafande wako hapa.
 
Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan

SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO

Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee

824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kanembwa hiyoo
 
Habari za asubuhi,

Ni siku nyingine tena Mungu anatupa kibali Cha kuiona siku ya Leo

Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo ju je ni kitu Gani kilikuwa kinakukela kipindi upe jeshini (mujibu wa sheria au uzalendo)

Kiujumla mimi nilikuwa nakeleka sana na mabio yani unakimbia kuelekea kuifuata chai [emoji1787][emoji1787] ila kwa muda mwingine nilipendelea changer sana nikiwa jeshini

Wewe je?
Kuimba usiku...
 
Daaah nimemmiss sana maisha ya 841kj, kipindi hicho unakutana na Captain Moshi hakuna, ukizubaa ukamkuta mesi mda wa chai basi mnakimbia Hadi uwanja wa damu mnakuja kunywa chai.

Kitu pekee nlichokuwa cpend ni kukesha usiku Hadi saa 6 7 na kuamshwa saa 9 na Afande Madoso.

Ila kwenye mazoezi na mabio nlikuwa mstari wa mbele sana na ni michezo nayo ipenda
 
Kunyimwa usingizi so poa mana mi pale makutu nilikuwa nabeba godoro wakituamsha then polini huyoo
 
Back
Top Bottom