841Kj kila ukifika mda wa kula siku ya nyama ni bigula la moto,unaambiwa moto unaunguza misitu ya sao hillAisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan
SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO
Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee
824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi warrant nikiitumia wakati wa bogi from Msange CTS (central training school zilikua nane tu enzi hizo) kwenda Luwa kambi ya mkoa. Kutoka Luwa kurudi uraiani walinipa cash money.Bila kusahau ulikuwa unapewa ''warrant'' ili utumie kusafiri kwenda, na pia wakati wa kurudi.
Daaaah we jamaa hao makatili, Rambo alishanipiga Kofi kwenye kwata mzeee[emoji23][emoji23]Jasho mzinguaji [emoji3], commando kipingu wa Charlie coy unamkumbuka? Madoso miyeyusho? Koplo Rambo wa Danger? Mkorofi daily analala mahabusu, matron kikosi je?
[emoji3]
Capt Moshi miyeyusho sana
Yupii huyoo simpati mkuuUnampata afande vampire?
Nawe ulikuwa unaenda kumbe.841Kj kila ukifika mda wa kula siku ya nyama ni bigula la moto,unaambiwa moto unaunguza misitu ya sao hill
Yupii huyoo simpati mkuu
Rambo mtata yule mzee, halafu amekomaa kisela yani yule mwamba.Daaaah we jamaa hao makatili, Rambo alishanipiga Kofi kwenye kwata mzeee[emoji23][emoji23]
Palikuwepo na Afande Devi, Afande Namwao
Ila Cpt Moshi amefariki mwaka Jana mkuu
Hapana kaka ni WA 841kj na mwaka gan maana mie intake ya 2017Anaitwa vempa mkaanga sumu
Nasikia kurogana kaka kisa madaraka mkuu.Rambo mtata yule mzee, halafu amekomaa kisela yani yule mwamba.
Capt Moshi alifariki kumbe dah! Apumzike kwa amani aisee..
Alipatwa na nini? Mbona umri ulikua bado kabisa dah
Unamkumbuka Afande Shitindi wa B coy, afande Urassa wa kwetu A coy, Mwizarubi, Cpt Runje, Cpt ShehozaRambo mtata yule mzee, halafu amekomaa kisela yani yule mwamba.
Capt Moshi alifariki kumbe dah! Apumzike kwa amani aisee..
Alipatwa na nini? Mbona umri ulikua bado kabisa dah
Apumzike kwa amani aisee.Nasikia kurogana kaka kisa madaraka mkuu.
Rambo ulikuwa ukitaka umuweze muungishe biashara yake tu[emoji23][emoji23]
Huyo RC mstaafu Issa Machibya nimesoma na mwanae shule Moja advance alikuwa mkorofi naye alikuwa anaitwa Issa Machibya Jr.Kuamka saa 10 usiku na kuanza mchakamchaka pale Ruvu. Kuna Maafande mfano Issa Machibya(RC Mstaafu), Afande Kijanga, Afande Londo, Afande Agnes, Afande Mmari walikuwa noma sana tukiwa kwenye OPERATION TIMIZA.
Ndohivo mkuuu saiiv cjui Nan kachukua nafasi yakeApumzike kwa amani aisee.
Urassa namkumbuka, wakati mpo alikuaga ni private au Corporal hivi? Alikua anapenda kusumbua kuruti [emoji3]Unamkumbuka Afande Shitindi wa B coy, afande Urassa wa kwetu A coy, Mwizarubi, Cpt Runje, Cpt Shehoza
Alikuwepo mmoja Msange CTS miaka ya mid 80s.Yupii huyoo simpati mkuu
Eeeh mkuuu we ulikuwa coy ganiUrassa namkumbuka, wakati mpo alikuaga ni private au Corporal hivi? Alikua anapenda kusumbua kuruti [emoji3]
Shehoza namfahamu
Sifa kujaza ndoo kurutu [emoji3]Kulikuwa na ile issue ya kwenda pukucha mahindi kule kwenye ghala lao wakati wa usiku aiseee ilikuwa ni nouma unapigwa na baridi Hadi mikono inshindwa pukucha mahindi
[emoji23][emoji23][emoji23]simpati mkuuAlikuwepo mmoja Msange CTS miaka ya mid 80s.
Kila siku anaingia Serengeti kiuchawi na kubaka wasichana.
Kumbuka kipindi kile wasichana mbele ya maafande Ni Kama maharage ya Mbeya. Jinga kulikua linabaka kiuchawi