Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
841Kj kila ukifika mda wa kula siku ya nyama ni bigula la moto,unaambiwa moto unaunguza misitu ya sao hillAisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan
SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO
Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee
824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]