Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Bubu Msemaovyo,
Dah- Mkuu kumbe ulipita Mafinga ... na Mimi nilipita hapo. Mlimbila namkumbuka sana... Nilikuwa namkatia pesa ili nitoroke kurudi Dar.. Alikuwa ndio anaangalia kombania yetu, akiwa chini ya afande mmoja mchaga anaitwa Ndosa.

OC Rweikaza naye alikwepo, tulikuwa tunamuita "MALAYA RWEIKAZA"; sababu alikuwa amewapitia wanaweka wote wa pale kombania. Alikuwa ni mpole, ila kwa wanawake ni balaa; na ugomvi wake ni "kuruta" ulikuwa akikukuta na mwanamke .
 
sintosahau mkesha wa 'usiku wa mwafrika' pale ruvu uliosimamiwa na luteni chahe akishirikiana na kapteni mhagama na akitanda
 
  • Thanks
Reactions: Gru
Mimi nilikuwa OPERESHENI TIMIZA 1976 pale Ruvu. Nakumbika kama ni siku ya kombania yetu kupika basi siku hiyo ilikuwa pia ya kuchinja ng'ombe kama kumi hivi. Nakumbuka tulikuwa tunajongea porini kwenda kuchoma nyama tuliyoiba wakati tunaendelea kuchinja na kutayarisha nyama ya kupika ya siku hiyo.
 
Ngarambe mtindo mmoja
23472324_1125439677586420_3058728840576449479_n.jpeg
 
Back
Top Bottom