Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa huko kukata kiuno na kutamka neno SHWEEAA umenifanya nicheke kama fala, haya majanga yalinikuta nilikuwa bado sijaanza kusumbuliwa na miguu nilianza kusumbuliwa mkesha ushaisha. . Yule afande kibakuli siyo kabisa.

Unakumbuka siku ile ya mkesha kuna boya mambo yalimshinda akatoroka, jamaa alikuwa anatoka mbio risasi ina nafuu, walimkosa. Kurudi Kibakuli kakasirika yupo na timu yake, tukakunja ngumi. Jamaa wanapita kukagua mikono na miguu ukiwa unategemea unachezea buti au fimbo.
Huyo jamaa na mkumbuka walikuwa wana muita mmalekani
Nilikuwa kwenye crew moja hatari sana wa wazee wa kulobulobu walikuwa ma chalii fulani wa chuga, jamaica walikuwa mitu mbili wana vuta bangi sana, iveco mzee wakubeba mahingi ya kombania nzima, huyu jamaa kunasiku alibebe mahindi ya kombani yote unajua tupo wapi iyo, genda genda, hadi afande akampa kuponi mbili za kula ubwabwa kwa kiminyiko
Basi ilikuwa burudani kwenye mabio ya saa 9 nilikuwa na yapenda
Chelume chelume ya kishiko na mzee wa wakufanya mchanganuo = rushwa ili mle tano usiku wa wamanane, mzee wa kutoa au amtoi

Haina kwele ya kafufi anatubiga maovo ovo ya kufa mtu afu kukikalibia kukucha anasema geukia upande wa kushoto, upande wakulia, peki na tumbo afu anawaacha, wadau walikuwa wanasema ukiona ivo ujue anaondoka na dawili ila siku waiona
Kuna kurutu mmoja alikuwa nanga ni balaa unajua anaitwa nani, mjaluo uyo, alikuwa a dada fulani mweusi, kibonge kiasi chake alikuwa hawezi kwata basi maafande walikuwa kituo cha kupumnzikia walikuwa wanamchapa viboko vya supu dati utamwonea huruma walivo ona haelekei kabisa wa kamwacha
Afende dafi mmburu ivi alikuwa anahasila ni balaa alikuwa anapiga makofi na ngumi kwa maafande wenzake, kunasiku amepeleka mahabusu pale main get si kaanza kumpa vitasa MP moja ambaye alikuwa naogopwa kikosi kizima unajua anaitwa nani, ndunguru alikua amekomaa afande huyu hadi sura

Kwa leo inatosha nipo job

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka we ni op muungano mkuu
Dah Oljoro Jkt 2014 hio n mwendo wa mabio chenja kama zote,kuvuna mahindi embakasi na shamba dunia,nilikua combania J na OC Kiwangu alikuaga mtu poa sana mzungu wa roho hana mambo mengi.... N mwendo wa kutunza kijogoo kwenye tranka,kula mahindi makavu .....Bila kumsahau mrembo wa kombania Irene Musobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka baada ya wiki mbili kukaa n chita kutokea ruvu niliamua kutoroka nilitembea km kama 15 poli kwa poli usiku ili nifike stesheni ya tazara kwa kuwa treni ilikua inapita saa kumi usiku, nilirudi ruvu nikaishia mahabusu siku si nyingi CO wa Chita major mdoe kaja na lori lake katurudisha tena chita basi nikaamua sasa sitoroki tena mpaka nilivyomaliza .
 
LUKAMA, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chalii umenikumbusha mengi.


[emoji23]Unamwimbia Afande Kashoka wimbo wa chelume, kama yupo zamu akifurahi anawapeleka kwenye Nyasi anawaambia pigeni mbonji hadi alfajiri.

[emoji16]Sema nini ile nyimbo kuna manzi nilikuwa napenda kukaa nyuma yake anaitwa Janet mnene hivi na maji ya kunde, basi kushikana kiuno mimi nafanya kuchokoa unakuta anacheka na kunitazama. Naweka uso wa kikauzu.

[emoji16]Afande Dafi yule akiacha bangi zake basi anakuwa ni mtu mmoja poa sana, kuna siku watu walidoji wakadakwa halafu keshapiga mjani aliwapigisha roll na viboko juu.

[emoji3]Chalii kama uliopoa mademu wa service kule, usihofu tupo pamoja. Hadi nikawa naletewa mapochopocho, na blanketi lililopuliziwa unyunyu nijifunike usiku..... Afande Fetty wa F COY popote alipo nammisi sana,
 
Hassan Mambosasa, Naikumbuka sana siku hiyo alivo kuwa ametupia maji (Dafi) pich lilikuwa ivi
Watu tumetoka kula msosi kwa kiminyiko aise si unajua baada ya kumaliza 6 week watu wanakuwa wasafi nini na wanaanza kupenda, kurutu wengine wakaenda kufoleni, wengine kama kawa tukaenda kukaa michugwani unapiga hesabu nani aende kuchafuka kukalishwa chini

maana kuna afande mmoja alikuwa anaitwa hassani alikuwa anamisifa akipita kombania lazima atulolishe kwaiyo wana wengi tulikuwa hatupendi, unajua michugwa tulikuwa na nani, tulikuwa kama wote vijana wa sumbufu (iveco, ignus, ismail, jamaa furani tulikuwa tunawaita wa kulobu kundi lao lilikuwa na watu 3, jamaica n.k na ma-senior majina siwakumbuki ila wote wabishi), ikaanza lokoo ya na number wana tukavimba hatukuenda ila baadaye wachache wakaenda.

Afande Dafi kupita kwa seniors anakaona nako kunaupungufu unajua inaenda saa ngapi hiyo, ngoma nne ndo mida ya kulala afu wale seniors ambao ndo jamaa zake inasemekana lakini walikuwa wanapiga kitu cha chuga pamoja hawapo basi aka maindi sana hadi wanatuliokuwa michugwani tukaogopa chaa ajabu sisi juinors tukienda alikuwa hatupigi anasema sisi tumefundishwa na seniors kwa iyo akatulushia taulo.

Sasa kama saa 5 ivi, kombani zingine washaenda kulala sisi bado, mala paaa jamaa zake hawa hapa walikuwa kama sita ivi siku iyo walikuwa wamependeza kwa kweli alichofanya afende akasema watoe simu tu kwenye mifuko yao ili zisialibike wengine tukawa watazamaji.

Kwanza wakalala chini wakapigwa maji kama yote zikatembea fimbo zakutosha, wakapiga mapenzi ya nyoka wakaanza kuloli, aliwapiga doso kama lote hadi mateke ya usoni toka siku iyo nikawa na muheshimu Dafi na kumwogopa, maana kilicho wapata nahisi hawata sahau maishani.

Walivo sulubiwa tukaenda kulala, nakumbu mengi sana tutaendelea kupeana up date kwa kilochokuwa kimejili kombani B au unaweza sema B company #2014

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LUKAMA, Afande Dafi, Afande Hassan, Afande kibakuli na Afande James hawa ni wanyama kabisa usije ukakutana nao anga zao umwzingua watakuua hawa.

Msala mwingine ilikuwa ni zamu ya Afande Idd, watu sita hawapo na ilipigwa rokoo. Aisee siku ile alikuja Matron mmoja hivi niliwahi kumwona siku ya kusafisha silaha kule ghalani ili zitumike range... Ile siku watu waliburuzwa na kulala na matope, doja wakaja saa tisa usiku mahabusu ikawahusu.

Ila jamaa kuna namba ya Matron Sarafina Naiomba, nilimwelewa sana yule Afande ningekuja kumwimbisha. Tatizo nilikuwa natoka na service girl mmoja, ningekuja kuibua msala nitimuliwe kambini
 
Allien,
Nusu mungu alikuwa na barua ilichapisha an inasomwa kila kruta wapya wanapoingia, na alaifanya watoto wengi wa wakubwa kumkimbia mafunzo. Pia mkewe alikuwa anatengeneza pombe la ulanzi, Nusu Mungu anawapangia kazi kwa kusema NINYI HAPA MNAKWENDA BUSTANI lakini akiwa na maana nindeni pale kwangu maana mnaenda kununua ulanzi na mnarudi wakati wengine wote wameshatoka walikopangiwa kazi
 
Back
Top Bottom