Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha elena wangu nilikuwa nampiga madole mkesha[emoji85]six week mi mwenyewe mtambo ulikuwa kimya,ila baada ya hapo sifa wepesi,kuna kaserengeti kamoja kakaleta urafiki urafiki,sikukalazia damu asee
Yaani wewe ni mimi kabisa.832 KJ bhana duh ni atar...............doso la kufa mtu,bustani kwa sana, afande Best na mabio yake ya mchana yalikera sana, ila nilikuwa napenda kuwah sana kule officers mess ili nkachukue kijogooo....hizi lugha ni walopta huko tu ndo wanaelewa.
Baba Helena😂😂,mi siku hz wakwangu nikimkumbusha anacheka tu,anaishia kusema "YAANI WEWE"Umenikumbusha elena wangu nilikuwa nampiga madole mkesha[emoji85]
Alafu ali kuwa na tabia ya kujipiga dole ananusaBaba Helena[emoji23][emoji23],mi siku hz wakwangu nikimkumbusha anacheka tu,anaishia kusema "YAANI WEWE"
Alafu ali kuwa na tabia ya kujipiga dole ananusa
Helen eeeee Helena eeee Helena eeeee kitambaa changu..............................kitambaa changu cha bakabaka nilikuhonga nawe ukahonga.... atar sanaBaba Helena😂😂,mi siku hz wakwangu nikimkumbusha anacheka tu,anaishia kusema "YAANI WEWE"
Kipindi hicho Kanali Mbuge alikuwa CO, mnaa atar yan KZ za kufa mtu kwa maafande.......saiv ndo mkuu wa JKTWazalendo;
Moja ya sehemu ya maisha yangu ambayo kamwe sitasahu ni kupitia JKT.
Nilijiunga na JKT Ruvu na baadaye nikaenda Service Buhemba Lwamkoma.
Sitosahau kamwe mafunzo ya ukakamavu, kwata, mchaka mchaka, disko na vitimbi mbalimbali kati ya Makuruta na Maafande. Nilikuwa Combania E.
Moja ya vituko vya kukumbuka ni simulizi kutoka- Operation OKOA, kulikuwa na huyu jamaa alikuwa ni mweusi sana anaitwa afande Lucas, badala ya kuwaaamsha kuruta kwa filimbi, alikuwa anaingia na kuvuta Sigara. Kuruta inatakiwa ukisikia harufu ya Sigara uamke na kufoleni nje. Usipotoka in time unakula mijeledi.
Basi siku moja Kuruta wakapanga wamfanyizie na wakatoka mapema nje na kujificha huku ndani kwenye Bweni wakiyaviringisha mablanketi mithili ya mtu amelala. Afande alipomaliza sigara hakuna aliyetoka akajua siku hiyo kuruta wamegoma kuamka na kuanza kuchapa viboko yale mablanketi yaliyovingirishwa. Alishtukia kaanza kushambuliwa yeye na kuruta toka nje ambao walikuwa na fimbo kibao mpaka akakoma.
Kisha kuruta wakafoleni nje. Nakumbuka Mkuu wa Kombania alipata habari na kulikuwa na drill si kawaida na mpaka push ups za kunusa mkojo katika nyasi walizokuwa wanakojoa kuruta usiku. Hata hivyo yule afande naye alikoma kwani hakurudia mchezo wa kuwaamsha watu kwa sigara.
Kwa waliokuwa Ruvu Operation Okoa:
Na miss
... Ama Johnnnnn ambaaaa ambaaa John, amba Johnnn wa Tanzania. Arusha Mbali, Arusha Mbali, tukumbukane kwa Barua nk...
- Ugali na korosho mnapojongo kambini
- Mihogo ya Vibwende kwa Babu
- Wali na Maembe
- Uji wa Mestin ya Jeshi
- Bukta na Green Vest
- Kuokota kuni
- Bustani
- Michezo
- Disco
Nakumbuka pia siku moja sikuimbisha disco vizuri na kipindi kile 1985 bado kulikuwa kuna ubaguzi wa rangi Africa Kusini, basi afande akanipiga mkwala na kuniambia.
"Kuruta nitakutemea mate yenye sumu usoni upofuke macho, na sijui utatibiwa wapi kwani mipaka yote Afrika Kusini imefungwa. . . (Kana kwamba hakukuwa na hospitali ya kutibu mate ya sumu hapa bongo"
Jamani mliokosa JKT, mlikosa mengi, japo tulipata tabu lakini tulijifunza mengi katika maisha.
Je, wewe unakumbuka nini?
TttttttxDogo huku-miss kitu:
I hate that d@mn thing JKT. Dakika za mwisho nilikuwa Ruvu JKT. Unavaa nguo zinazofanana na mtoto wa waziri au Brigedia wa jeshi na wewe unaisi mko kwenye ligi moja. Lakini ngoja Jeshi limalizike uone wenzako wako wapi na wewe huko wapi?
Nilikuepo Ruvu Op flani hv kuna huyo afande anaitwa Kahonda So poa yaani akiwakuta shambani hata kama ni wawili kazi aliyoipanga lazima iishe,
Mpaka ikafika muda mkiona gari lake kwa mbali mnapita migazini hao kurudi kambini.Mwingine ni afande Mariwa mtu poa sana yaani ila hatakagi ujinga kwenye kazi,ukipiga kazi kwa kujituma unakula zako tano mapemaa
LONG LIVE 833 KJ[emoji123]
832 KJ bhana duh ni atar...............doso la kufa mtu,bustani kwa sana, afande Best na mabio yake ya mchana yalikera sana, ila nilikuwa napenda kuwah sana kule officers mess ili nkachukue kijogooo....hizi lugha ni walopta huko tu ndo wanaelewa.
OP Kilimo kwanzaIntake ipi ulkua maiki
ndio mzee832 kj Ruvu
Duh mm nlisoma enzi hakuna jkt ila nlikuwa natamani sana kwenda huko hata kwa kufosiWazalendo;
Moja ya sehemu ya maisha yangu ambayo kamwe sitasahu ni kupitia JKT.
Nilijiunga na JKT Ruvu na baadaye nikaenda Service Buhemba Lwamkoma.
Sitosahau kamwe mafunzo ya ukakamavu, kwata, mchaka mchaka, disko na vitimbi mbalimbali kati ya Makuruta na Maafande. Nilikuwa Combania E.
Moja ya vituko vya kukumbuka ni simulizi kutoka- Operation OKOA, kulikuwa na huyu jamaa alikuwa ni mweusi sana anaitwa afande Lucas, badala ya kuwaaamsha kuruta kwa filimbi, alikuwa anaingia na kuvuta Sigara. Kuruta inatakiwa ukisikia harufu ya Sigara uamke na kufoleni nje. Usipotoka in time unakula mijeledi.
Basi siku moja Kuruta wakapanga wamfanyizie na wakatoka mapema nje na kujificha huku ndani kwenye Bweni wakiyaviringisha mablanketi mithili ya mtu amelala. Afande alipomaliza sigara hakuna aliyetoka akajua siku hiyo kuruta wamegoma kuamka na kuanza kuchapa viboko yale mablanketi yaliyovingirishwa. Alishtukia kaanza kushambuliwa yeye na kuruta toka nje ambao walikuwa na fimbo kibao mpaka akakoma.
Kisha kuruta wakafoleni nje. Nakumbuka Mkuu wa Kombania alipata habari na kulikuwa na drill si kawaida na mpaka push ups za kunusa mkojo katika nyasi walizokuwa wanakojoa kuruta usiku. Hata hivyo yule afande naye alikoma kwani hakurudia mchezo wa kuwaamsha watu kwa sigara.
Kwa waliokuwa Ruvu Operation Okoa:
Na miss
... Ama Johnnnnn ambaaaa ambaaa John, amba Johnnn wa Tanzania. Arusha Mbali, Arusha Mbali, tukumbukane kwa Barua nk...
- Ugali na korosho mnapojongo kambini
- Mihogo ya Vibwende kwa Babu
- Wali na Maembe
- Uji wa Mestin ya Jeshi
- Bukta na Green Vest
- Kuokota kuni
- Bustani
- Michezo
- Disco
Nakumbuka pia siku moja sikuimbisha disco vizuri na kipindi kile 1985 bado kulikuwa kuna ubaguzi wa rangi Africa Kusini, basi afande akanipiga mkwala na kuniambia.
"Kuruta nitakutemea mate yenye sumu usoni upofuke macho, na sijui utatibiwa wapi kwani mipaka yote Afrika Kusini imefungwa. . . (Kana kwamba hakukuwa na hospitali ya kutibu mate ya sumu hapa bongo"
Jamani mliokosa JKT, mlikosa mengi, japo tulipata tabu lakini tulijifunza mengi katika maisha.
Je, wewe unakumbuka nini?
Ilikuwa miaka ya nyuma kidogo 1982/83 Kule Mlale JKT Songea.
Ishu pale ilikuwa ni muda wa kuamka ile alfajiri saa 9 kwenda route match ambapo wasichana walitakiwa kwenda kombania kwa wavulana bigula linapolia.
Kwa kuwa muda ni usiku sana wasichana tulikuwa tunakwenda kulala kule kombania kwa hiyo unapofika ni kuvamia tu kitanda bila kujua aliyelala hapo ni nani na ikizingatiwa ni usiku baada ya kumaliza kuimba na hanga/bweni halina taa. Na tuliweza kulala na wavulana hadi hiyo alfajiri lakini hakuna aliyeweza kugeuka wala kushtuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawatafuta ndugu zangu wa Operesheni Kambarage Ruvu JKT mwaka 1990/91.Wazalendo;
Moja ya sehemu ya maisha yangu ambayo kamwe sitasahu ni kupitia JKT.
Nilijiunga na JKT Ruvu na baadaye nikaenda Service Buhemba Lwamkoma.
Sitosahau kamwe mafunzo ya ukakamavu, kwata, mchaka mchaka, disko na vitimbi mbalimbali kati ya Makuruta na Maafande. Nilikuwa Combania E.
Moja ya vituko vya kukumbuka ni simulizi kutoka- Operation OKOA, kulikuwa na huyu jamaa alikuwa ni mweusi sana anaitwa afande Lucas, badala ya kuwaaamsha kuruta kwa filimbi, alikuwa anaingia na kuvuta Sigara. Kuruta inatakiwa ukisikia harufu ya Sigara uamke na kufoleni nje. Usipotoka in time unakula mijeledi.
Basi siku moja Kuruta wakapanga wamfanyizie na wakatoka mapema nje na kujificha huku ndani kwenye Bweni wakiyaviringisha mablanketi mithili ya mtu amelala. Afande alipomaliza sigara hakuna aliyetoka akajua siku hiyo kuruta wamegoma kuamka na kuanza kuchapa viboko yale mablanketi yaliyovingirishwa. Alishtukia kaanza kushambuliwa yeye na kuruta toka nje ambao walikuwa na fimbo kibao mpaka akakoma.
Kisha kuruta wakafoleni nje. Nakumbuka Mkuu wa Kombania alipata habari na kulikuwa na drill si kawaida na mpaka push ups za kunusa mkojo katika nyasi walizokuwa wanakojoa kuruta usiku. Hata hivyo yule afande naye alikoma kwani hakurudia mchezo wa kuwaamsha watu kwa sigara.
Kwa waliokuwa Ruvu Operation Okoa:
Na miss
... Ama Johnnnnn ambaaaa ambaaa John, amba Johnnn wa Tanzania. Arusha Mbali, Arusha Mbali, tukumbukane kwa Barua nk...
- Ugali na korosho mnapojongo kambini
- Mihogo ya Vibwende kwa Babu
- Wali na Maembe
- Uji wa Mestin ya Jeshi
- Bukta na Green Vest
- Kuokota kuni
- Bustani
- Michezo
- Disco
Nakumbuka pia siku moja sikuimbisha disco vizuri na kipindi kile 1985 bado kulikuwa kuna ubaguzi wa rangi Africa Kusini, basi afande akanipiga mkwala na kuniambia.
"Kuruta nitakutemea mate yenye sumu usoni upofuke macho, na sijui utatibiwa wapi kwani mipaka yote Afrika Kusini imefungwa. . . (Kana kwamba hakukuwa na hospitali ya kutibu mate ya sumu hapa bongo"
Jamani mliokosa JKT, mlikosa mengi, japo tulipata tabu lakini tulijifunza mengi katika maisha.
Je, wewe unakumbuka nini?
Nawatafuta ndugu zangu wa Operesheni Kambarage Ruvu JKT mwaka 1990/91.