Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Week nzima mnajificha mlikua mnakula wapi, kuoga...Itakuwa walikuja wengine, sisi tulipita mwanzo upande wa JKT baada ya hapo kuwa kituo Cha ulinzi(DET).
Tulikuwa tukijificha porini kwenye magofu ya makanisa ya warundi na hakuna hata mtu anayekuja kututafuta, kule ilikuwa ukiwa mzembe utafanya kazi mpaka ukome.
Ilikuwa una risk kujificha wiki ila ukikamatwa siku moja unakuwa tayari kwa drill nzito.