usinikumbushe mambo ya mraba pale makutu, ilikuwa ni balaa.Mi niliamua kufanya kila niambiwacho kwa 100%.
Hakuna kutegea, kujificha wala nini.
Na siku nyingine nikimaliza mraba wangu mapema namsaidia yeyote yule.
Kila tabu au adha niliifanya kuwa fursa na raha.
Hiyo kanuni ninaitumia huku uraiani pia hakuna kulialia.