Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du nilimsahau super koplo Thomas wa mafinga JKT
Wanataaluma mnanikumbusha mbali sana tena . . .
Nakumbuka wakati wa kwata na kunyakua, kuna afande alikuwa analala chini kabisa akidai anataka kuhakikisha kuwa miguu yote inaenda na kushuka pamoja bila kupinda.
Ilikuwa balaa . . . Kunywa uji mwendo wa kunyakua, kula mwendo wa kunyakua nk.
Jamani tunatoka mbaaaaali kweli kweli. Sijui kama watoto wetu watakuja kupata hii experience . . . .
thread kama hizi huwa zinaanzishwa ili kuwatambuwa na kuweza kuwagundua
Huyu kamaliza shule jana tu wakati wa Mkapa atajua nini? haya kwake ni hadithi za kale na haoni raha yake.Shy, hapa unamaana gani? Kama huna la kuchangia au hukubahatika kwenda JKT afadhali tu ukae kimya!!
Cola, unamsema Rwegasira yupi yule aliyekuwa fundi Bomba?
Tiba
Huyo jamaa(bold) kwa sasa ni Reverend fulani hivi sijui kama akikumbuka mikasa ya JKT anasemaje? haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.