Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbuka mbali wakuu! Op. Vyama Vingi- 91/92; Kikosi 836KJ, OLJORO JKT, MAKUYUNI subdetach Arusha, Force No XXXX. Mashamba makubwa ya Mahindi Oljoro, Dunia na Embakasi. Sehemu ya kujongo: korongoni.
Wale wa Makutupora na Ol joro.....
Basi tulikuwa operesheni moja mkuu,maselule wengi walikatwa bogi kwena Makuyuni.Hao mapailot wengi waliogopa medical test ya kuchunguliwa ndani ya 'masaburi' na mchina kuangalia kama una magonjwa/maambukizi huko nyuma.intake hiyo kuna kuruta walichukuliwa kwenda Dar ili wakasomee upailoti zaidi ya watu 20 tukawa tunawaita mapailot, baadae walianza kurudi mmoja mmoja kwa kushindwa mazooezi ya huko na tukawa yunawaita 'unfit' nadhani alifanikiwa jamaa mmoja tu toka Oljoro jina lake Ali Ruga.... sikumbuki vizuri, nadhani sasa yuko kikosi cha anga Ngerengere.
Lusajooo.....and other people I know. Those were the days when boys were boys and girls were girls.Uchaka.........that was the real part of JKT man.....sio siku hizi kuuza matrekta![]()
Ndugu zangu
Naenda kambi ya Mgambo Kabuku Tanga kwa mafunzo ya jeshi la Kujenga Taifa. Ninaomba waliopita kambi hii wanijulishe mambo ya ndani ya kambi hii, historia yake na mazingira yake. Nataka nione maisha ya jeshini haswa na kama itawezekana nifanye kazi ya kujitolea kufundisha shule ya kata ya jirani kama ipo.
inaonekana vijana wa siku hizi wanakula shushi kwasababu sijawasikia wakisimulia stori za kusisimua kama enzi zetu. hata wanaojiunga ktk majeshi yetu ya ulinzi na usalama,mafunzo yao yamekua laini sana na nidhamu imeshuka sana.Mkuu Zitto; I hope mafunzo ya JKT yalienda vizuri. Kuna habari zozote za kusisimua za kushare?
inaonekana vijana wa siku hizi wanakula shushi kwasababu sijawasikia wakisimulia stori za kusisimua kama enzi zetu. hata wanaojiunga ktk majeshi yetu ya ulinzi na usalama,mafunzo yao yamekua laini sana na nidhamu imeshuka sana.