donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Japo sina uhakika lkn nahisi imekaa ki luten kanali zaidi
Mkasi na nyota mbili mkuu ni luteni jenerali,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo sina uhakika lkn nahisi imekaa ki luten kanali zaidi
Mkuu xir jyerphy vp kwa wale tunaopenda kua makomandoo. Maana hayo mazoezi jinsi ulivyoyataja naona kama ni chai maharage kwangu. Je sisi ambao ni tagi mbavu na tuliokulia mazingira ya kick boxing tunaupendeleo kwenda ukomandoo au ndio ukionesha Gamba la degree huchukuliwi tena ukomandoo.
mi niko nchi za watu huwa ni marufuku maswala yanahusu jeshi kujadiliwa hadhalani pia binafsi kuhusu jeshi am top ranking so i know wat am talking soldiers dont contribute any thing with this mere civilian they no nothing how to keep secretDah kwel nimekupata ipasavyo,respect kwako alama ya mkasi n cheo gan? Na nyota mblli?
acheni unanga huo eti mpaka hapo mtu anauliza ni siri gani iliyotolewa haya sio mambo ya kudiscus mbele ya foregners mnaweka mfumo wenu wa mafunzo wa acha wapate kazi kuutafuta msiwalaisishie kila kita uraia huoNjoo upikwe kaka,acha woga karibu sana huku.....
gen parton...mi niko nchi za watu huwa ni marufuku maswala yanahusu jeshi kujadiliwa hadhalani pia binafsi kuhusu jeshi am top ranking so i know wat am talking soldiers dont contribute any thing with this mere civilian they no nothing how to keep secret
gen parton...acheni unanga huo eti mpaka hapo mtu anauliza ni siri gani iliyotolewa haya sio mambo ya kudiscus mbele ya foregners mnaweka mfumo wenu wa mafunzo wa acha wapate kazi kuutafuta msiwalaisishie kila kita uraia huo
Huyu jamaa mwongo hata sidhani kama kweli ni mjd
Ukiangalia profile yake unakutana na kitu cha ulinzi jamii.... teteteteeee,mara kaajiriwa na serikali na anadisclose mshahara wake, mara uarabuni, yanj ubabaishaji mwingi aseer.... lol
Huyo jamaa sijui ana lake jambo, ukiingia You Tube Utaona Clips za videos kibao za Mafunzo ya wanajeshi wa Marekani, hususan Marine Corps na Training officers wao wakiwa wanahojiwa seuzi sisi na hicho unachotusaidia kudadavua xir jyerphy, Video nyingi miongoni mwake ni hizo hapo chini:-
https://www.youtube.com/watch?v=-1g3F810DWo
https://www.youtube.com/watch?v=QrrV30gnt7g
https://www.youtube.com/watch?v=vPg2Kf-jYeA
https://www.youtube.com/watch?v=PN_us-YBMZM
https://www.youtube.com/watch?v=uUSsiV7nJnk
Na nyingine kibao
Wameacha kuwalimisha watu miraba kama matrekta siku hizi?
Najutia kupoteza mwaka mzima kule 832 KJ Mgambo/Operation Vyama vingi.Hihihihi... kawaida tu vuvuleza
ulipitaka kule enzi zako ama?
Najutia kupoteza mwaka mzima kule 832 KJ Mgambo/Operation Vyama vingi.
Hakuna chochote nilichofaidika zaidi ya kuupoteza mwaka wangu kule bila kitu chochote cha maana zaidi ya kukutana na marafiki wapya. Period!
Nililimishwa kama Valmet. Nilichuma machungwa kama ngedere. Nilifyeka nyasi kutumia jembe!
All in all it was a year lost. Labda kwa wengine mlifaidika ama mtaendelea kufaidika na JKT. Lakini to me personally hakuna cha maana nilichokiona huko. Ni waste of tax payers' money.
Samahani kama wengine mtakwazika
Kaka donlucchese na xir jyerphyMkasi na nyota mbili mkuu ni luteni jenerali,
Dela umetisha mkuu...Kaka donlucchese na xir jyerphy
kuhusu vyeo ingawa mimi ni Bonge la Raia ila navijua kimtindo coz nafuatilia haya mambo, Kimsingi hakuna Cheo cha Mkasi na Nyota2, ila kuna (navitaja vya juu juu:-
1. Bibi na Bwana(Meja) na Nyota 2- Kanali
2. Bibi na Bwana(Meja) na nyota 3- Brigedia Jenerali
3. Bibi na Bwana(Meja) na Mkasi - Meja Jenerali
4. Bibi na Bwana(Meja) Mkasi na nyota Moja - Luteni Jenerali
5. Bibi na Bwana(Meja) ,Mkasi na Nyota Mbili - Jenerali.
Nawasilisha.
Wanaosema mkuu hyo unayosema n sir waangalie startv now wanaonesha marudio juu ya mafunzo ya kivita