Je unakumbuka ulipokua shule ulikua na cheo gani? Na faida ya hicho cheo ni ipi?

Ackhery

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2021
Posts
293
Reaction score
299
Je ulipo kua huko shuleni ama hapo ulipo umeshawahi kuwa na cheo gani?
Na ulikua unapata faida gani?
Maana wengine walikuaga viongozi lakini walikua hawajui nini chakufanya
Embu sema ulikua na cheo gani pia na faida ulokua ukiipata
 
Sijawahi kuwa na cheo chochote kile
 
Je ulipo kua huko shuleni ama hapo ulipo umeshawahi kuwa na cheo gani?
Na ulikua unapata faida gani?
Maana wengine walikuaga viongozi lakini walikua hawajui nini chakufanya
Embu sema ulikua na cheo gani pia na faida ulokua ukiipata
Sisi wazee wa gola ngoja tukae pembeni kwanza.
 
Shule ya msingi nilikuwa na cheo Cha umonitiresi...faida walikuwa wanapata rafiki zangu kutowaandika kwenye majina ya wapiga kelele ila siku wakinivuruga nilikuwa naandika majina yao Mara tatu tatu.

Sekondari nilikuwa kiongozi
..faida ilikuwa katika uchelewaji nachelewa najua sipewi adhabu
 
Sekondary nilikuwa accademic prefect sasa kulikuwa mashindano ya u miss. Bahati nzuir nikawa kwenye jopo la majaji

Basi kukawa na bint mmoja wa form one few hours before shindano nikapishana nae sehem nikamwambia nitakufanya uwe miss

Nakweli akawa but nkamwambia aje home jioni....
 
duh ulikua na mpango gan huko hom au ndo mabo yale
 
Je ulipo kua huko shuleni ama hapo ulipo umeshawahi kuwa na cheo gani?
Na ulikua unapata faida gani?
Maana wengine walikuaga viongozi lakini walikua hawajui nini chakufanya
Embu sema ulikua na cheo gani pia na faida ulokua ukiipata
Nakumbuka wakati nipo sekondari nilikuwa na cheo cha uwaziri mkuu wa ulinzi.

Basi ikawa nikichelewa nafika karibia na shule then najifanya nakamata wanaochelewa kumbe na mimi natafuta upenyo niende zangu,nilienjoy sana kile cheo aisee
 
Back
Top Bottom