- Thread starter
- #61
hapo ndo alikua wakipekeeeHahaha! Kujiandika noma!
Ulitisha kulipa fadhila za wapigaji kelele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ndo alikua wakipekeeeHahaha! Kujiandika noma!
Ulitisha kulipa fadhila za wapigaji kelele
aaah mlikua mnamkomoa, vipi alikua anachukuliaje mkimwita hivoNakumbuka uboyizini tulikua na monitor na msaidizi wake ambaye tulimuita Monitress japo alikuwa me
Ninadhani hivo mkuu!! Niliwahi pita mpka jkt huko!!! Ni mwendo wa uongoz tuu!!!hicho ni kibali ulichonacho toka kwa Mungu
Hahaha! Kujiandika noma!
Ulitisha kulipa fadhila za wapigaji kelele
nakubali kwa hayoNinadhani hivo mkuu!! Niliwahi pita mpka jkt huko!!! Ni mwendo wa uongoz tuu!!!
Mpka sasa ofisin!! ...ninakauongoz hiv!!
Lakin kwa uzoefu wangu ...ili uwe mtam katika uongoz usiwe mkuda/mnaa ... Kweny utetez uwepo kimtindo....halafu ili wasikuzoee sana uwe utabilik sometime mtu akizingua unamkataa anachezea adhabu hata kama ni best!!! Hapo utadumu[emoji23]
hapo ndo uliharibuUtoto mkuu, nakumbuka kuna walimu wa field walikuja, nikajiandika kwenye wapiga kelele. Ticha alinimaindi balaa.
Ndo alisababisha nikapigwa chini.
bonge la faidaKupika kwenye sherehe mbalimbali za shule enzi hizo primary[emoji4] na Sasa n mpishi mzuri.
Yaan ilikua raha sana...aaaah hiyo ilikua chance
hongera sanaYaan ilikua raha sana...
wengine huwa wanaangalia appearanceO level nilikuwa HP kutokupenda kwangu kuongea kulifany uongoz huo kuwa mbovu , A level nilikuwa sijichangan San lakin nikaforcewa ni monitor
Instort uongozi si uwezi lakini huwa naforcewa Sana cjui kwanini,
ni baadhi ya changamotoDah let me share!
Primary nilikua monistress na monitor wangu alikua mbabe huyoo!kazi Ilikua ni kukusanya madaftari na kupeleka ofisini mazitoo🙄kuna siku tulikula stick kisa darasa halikufanyiwa usafi na wenye zamu so tukaitwa monitor na monitress tukala fimbo za kutosha tu, tulivorudi uwii darasa walijuta, Monitor alienda kuchukua fimbo akawatembezea darasa zima eti wanapiga kelele kumbe hasira za kupigwa na ticha na sijui kwanini monitor alikua anaruhusiwa kugawa stick jamani😀😀
O level- nilikua kiongozi wa ulinzi na usalama sasa kuna siku tuko bwenini hivi usiku tukasikia mayowe watu wanapiga kelele moto kutoka nje kweli kwenye switch mojawapo ya umeme kunawaka moto duh watu wakakimbia mbali nakumbuka nikatoka mbio hadi sehemu ya main switch nikazima! Ikawa Bahati moto haukuendelea aisee nilipongezwa kwa kitendo cha kishujaa na nikaongezewa muhula mwingine wa uongozi !faida ilikua ni kudoji mchakamchaka asubuhi(nilikua siupendi)😛, pia kuna favors flani nyingi dah.
A level-nilikua dom leader! Rafiki zangu walinionea sana nikipanga zamu ya usafi hawafanyi hadi mbembelezane dah.
umesoma moshi?Food prefect/ kiongozi wa chakula
1. Nilikuwa nakula kwa wakat
2. Nilikuwa nasave chakula cha usiku nikiamka kusoma
3. Nilipata mke kupitia cheo hicho na tuna watoto wawili
4. Kilinifanya nijifunze kidhungu maana nilihitajika kujieleza infront of mass
5. Nilipata marafiki wengi kupitia food
Hasara
1. Nilikuwa baada ya break time lazma nilale sababu ya uji
2. Nilichukiwa sana na wazembe wasiotaka kusomba maji au kuni kwenye zamu zao
3. Nilijiona mwalimu kunipelekea kuwa mnoko
Primary na secondary nilikua na cheo cha mpenzi wake monitor
Chuo nilikuwa na cheo cha mpenzi wa makamo wa rais
Yaaaas!Soon unaweza kuangukia kwa Prezidaa.