Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafeligi sana sijui kwanini asee,Primary nilikuwa monitor darasa la 3 kwa kuteuliwa. Huwezi amini nilikuwa nachapa wapiga kelele na nilikuwa naona ni sahihi kabisa. Kuna muda nilikuwa naamuru walale wakikosa la kusoma (shule ya vidumu na mifagio)
Darasa la 4 nikawa kiranja nikapelekesha wasumbufu vilevile. La 5 mwishoni nikawa HP
Form 1 nikawa monitor kwa vile nilisoma vizuri sana pre-form one na nilikuwa najua. Form 2 nikawa store keeper, ni kazi inataka uaminifu na record keeping, then nikawa environmental prefect. Form 3 HP
A Level kiongozi flani hivi badge ya rank ya mwisho. Chuo nachezea kamati ya uchaguzi. Kwanza uku wanapitishwa watu kabla ya kupiga kura. Mimi ni adui wa siasa
Dini nimeshika nafasi kadhaa na kuwa kaka wa madogo kibao, nina vyeti vya dini kuliko kwingine. Viongozi wengi wa dini wanafeli au huwa wanasoma Edu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolPrimary na secondary nilikua na cheo cha mpenzi wake monitor
Chuo nilikuwa na cheo cha mpenzi wa makamo wa rais
Hii tabia ya monitor kuwachapa wapiga kelele nilikutananayo huko kanda ya ziwa nikiwa primary nilikuwa nashangaa sana, mwanafunzi anamchapaje mwanafunzi mwenzie!Primary nilikuwa monitor darasa la 3 kwa kuteuliwa. Huwezi amini nilikuwa nachapa wapiga kelele na nilikuwa naona ni sahihi kabisa. Kuna muda nilikuwa naamuru walale wakikosa la kusoma (shule ya vidumu na mifagio)
Darasa la 4 nikawa kiranja nikapelekesha wasumbufu vilevile. La 5 mwishoni nikawa HP
Form 1 nikawa monitor kwa vile nilisoma vizuri sana pre-form one na nilikuwa najua. Form 2 nikawa store keeper, ni kazi inataka uaminifu na record keeping, then nikawa environmental prefect. Form 3 HP
A Level kiongozi flani hivi badge ya rank ya mwisho. Chuo nachezea kamati ya uchaguzi. Kwanza uku wanapitishwa watu kabla ya kupiga kura. Mimi ni adui wa siasa
Dini nimeshika nafasi kadhaa na kuwa kaka wa madogo kibao, nina vyeti vya dini kuliko kwingine. Viongozi wengi wa dini wanafeli au huwa wanasoma Edu
Praise and worship haijawahi kuleta akili kichwani. Kazi kupiga vyombo vya mziki na kukesha uko eti wanalinda vyombo. Sometimes kuzurula kwenye matamasha na makongamano ya imani. Mkifunga watu wanaenda kukata mapindi wale watumishi wanaenda kwenye kambi za kuhubiri. Unajua kupenda kitonga kwa wachungaji kunatokea ukuWanafeligi sana sijui kwanini asee,
Kuna jamaa A-level alikua nabii kabisa
Ila tokeo sasa.