kuna siku walisema kila kitu kina faida huku duniani eti wanashangaa mtu anachinja kuku anamnyonyoa anatupa manyoya wakati hayo manyoya yana juice nzuri sana
ulishaona juice ya manyoya ya kuku mkuu?
za kuambiwa?????????
Wapi Mzizimkavu, njoo maliza ugomvi hapa.
Mkuu hapa umeniacha njia panda. Mi mchana huwa napiga hii makitu pia kwa imani ya kuuweka mwili imara kupambana na Nyagi nitakayomimina jioni. Sasa kama ndio hivi tena..... hebu Madaktari Riwa, MziziMkavu, na TIMING mkuje pande hii mturudishie imani yetu kwenye matunda.
Hapa mpaka aje MziziMkavu ndo kitaeleweka vizuri
nshasikia kitu kama hii kwa docta fulani hivi....kuna ukweli ndani yake...tusubiri MziziMkavu ,Riwa na wengine wakuje kutupa lecture hapa....
Mkuu.@​PakaJimmymimi ninakubaliana na aliyoyasema Mkuu.@Mupirocin Uric acid ni end product ya digestion ya protein kula muda mwingi vyakula vya protein kwa ujumla wake ndivyo vinavyo sababisha uwe na uric acid nyingi.Lakini Sio kula Matunda kwa wingi ndio kuna sababisha Uric acid nyingi hilo hata mimiUric acid ni end product ya digestion ya protein, sasa kula muda mwingi vyakula vya protein kwa ujumla wake ndivyo vinavyo sababisha uwe na uric acid nyingi. Lakini matumizi ya alcohol, antipain like paracetamol are the most causative of hyperuricemia. Na most protein ni zile first class kama meat, beans etc. Kwa msaada Google HYPERURICEMIA utapata majibu achanani na waganga njaa hao. Na ndiyo maana magonjwa ya gout ni common kwa wanywa pombe na wale wanaokula sana red meat.
nakuunga mkono.................Mzizimkavu naomba contact zako mkuu kama ikiwezekana nimeona una madini kibao hasa juu ya afya zetu!
Mkuu Sekema wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie barua ya pepe Address yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.comMzizimkavu naomba contact zako mkuu kama ikiwezekana nimeona una madini kibao hasa juu ya afya zetu!
Wakubwa,
Jana nilikuwa nasikiliza RFA kulikuwa na kipindi cha Afya, kuna jamaa wa dizaini kama ya Dr Ndodi, wanapima magonjwa kwa kutumia mashine inayoitwa Quantum ambayo ina uwezo wa kuainisha magonjwa mengi yanayomsumbua mtu, kwa kushika handle fulani kama 'mouse' inayoingia kwenye computer hiyo. Baada ya hapo wanauza dawa za aina ya vyakula ili kutibu magonjwa yaliyoonekana kwa mgonjwa.
Kilichonishitua ni kwamba walifika mahala wakawa wanataja vitu vinavyopelekea mtu kuwa na Uric acid nyingi mwilini, wakasema kuwa ulaji wa matunda mchanganyiko KWA MUDA MMOJA ni source kubwa na mbaya sana ya Uric acid!
Walisema wale wauzaji wa matunda wanaokata chungwa, embe, papai, pesheni, avocado, tango, ndizi etc, na kukuzia kwenye sahani waogope kama ukoma, maana wanakuletea sahani ya kifo.
Walieleza kuwa kinachotakiwa ni kula tunda la aina moja lililopo kwenye msimu, basi na si kula matunda mchanganyiko.
Najiuliza, kuna packed juice za mixed fruit, aidha huko majumbani tunablend na kunywa juice za kuchanganya matunda, je ndio tunajimaliza?