Je Unakunywa Juice za Mixed Fruits?...

Je Unakunywa Juice za Mixed Fruits?...

hapo umeongea maana hawa raia washaona wabongo ni wavivu kufikiria usinikumbushe ya ndodi na ndimu kutibu malaria...

Dah!!!,ivi ndodi kapotelea wapi???,jamaa nilikuwa cmwamini kabisa...:nimekataa
 
mimi shemeji yenu alipoenda hospitali kwa ajili ya mafua kaambiwa ni aleji ya godoro! nilicheka tu maana ndo kwanza naskia tangu nizaliwe!
Hii mkubwa ipo kabisa!
Kuna magodoro yasiyo na viwango ambayo yanamomonyoka na kutoa particles kama vumbi zinazoathiri mwili.
Mimi enzi hizo nilipata kulalia yale magodoro ya pamba, nilikuwa napagawa na mafua kila nikiamka!
 
Mkuu sasa hii godoro si ya pamba, ni sponji ya chapa gani sijui hata siikumbuki ntakwambia jioni nikirudi kulala
 
Mkuu, hujarudi kulala? Nimeanza kupata wasiwasi kwamba mafua ya mamaa yanachangiwa na upweke (kulala peke yake). Upweke huleta msongo wa mawazo. Msongo hudhoofisha kinga ya mwili - hatimaye mafua.
Kama ulisharudi basi uwe unakumbuka kutimiza ahadi, vinginevyo unaweza kuuziwa kesi. Ahadi ni deni!
 
Eti eeh? Ngoja nimsisitize hili swala
 
Tuache kuongopea wananchi jamani.
kwanza naomba nijue huyu mtaalam anatumia Quantum dots?? kama ndio sina shaka nazo manake zina bio sensors ambazo ziko caped na antigens kwaajili ya diagnostics ukipewa majibu na mashine yenye hii technolojia ni uhakika kabisa.

sasa tuje kwenye sources za uric acid mwilini. binadamu kwa kawaida hutengeneza kiasi kidogo c=sana cha uric acid mwilini . kwenye damu ya binadamu kiwango cha uric acid ni kati ya 3.6mg/l na 8.3mg/l ingawa kiwango kidogo sana kinategemewa kiwepo kwa walaji wa mboga mboga na matunda (vegs) kwasababu wana decreased intake ya purine kutoka kwenye nyama
.nashindwa kuelewa kwann aseme ulaji wa matunda unaleta uric acid nyingi ama wa matunda mchanganyiko manake matunda hayana protein na kama tujuavyo protein inatokana na nyama zaid.

labda angeniambia inaleta acid na hapa tena ni ulaji wa citrus fruits kwa wingi kiasi cha kuweza kupandisha kiwango cha nyongo.

anyways let me go and read more about this nitawajia na majibu murua kabisa. but kutoka kwenye kaelimu kangu ka bios ka form 4 hiki ndo ninachoweza kusema hapa.
Asprin. PakaJimmy Smile msiogope kula matunda ila tu muhakikishe yanatengenezwa vyema na kwa usafi as hayapikwi so yanaweza kuwa chanzo cha magonjwa ya kuhara na homa za matumbo.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante mwalimu wangu mpenzi. Nlikuwa na mpango wa kumwaga juice yangu wallah
 
Bi Mkubwa gfsonwin asante sana ingawa umechelewa sana,unajua tangu PakaJimmy atulee hili bandiko niliamua kusitisha zoezi la ulaji wa matunda mchanganyiko.
Tuache kuongopea wananchi jamani. kwanza naomba nijue huyu mtaalam anatumia Quantum dots?? kama ndio sina shaka nazo manake zina bio sensors ambazo ziko caped na antigens kwaajili ya diagnostics ukipewa majibu na mashine yenye hii technolojia ni uhakika kabisa.sasa tuje kwenye sources za uric acid mwilini. binadamu kwa kawaida hutengeneza kiasi kidogo c=sana cha uric acid mwilini . kwenye damu ya binadamu kiwango cha uric acid ni kati ya 3.6mg/l na 8.3mg/l ingawa kiwango kidogo sana kinategemewa kiwepo kwa walaji wa mboga mboga na matunda (vegs) kwasababu wana decreased intake ya purine kutoka kwenye nyama .nashindwa kuelewa kwann aseme ulaji wa matunda unaleta uric acid nyingi ama wa matunda mchanganyiko manake matunda hayana protein na kama tujuavyo protein inatokana na nyama zaid.labda angeniambia inaleta acid na hapa tena ni ulaji wa citrus fruits kwa wingi kiasi cha kuweza kupandisha kiwango cha nyongo.anyways let me go and read more about this nitawajia na majibu murua kabisa. but kutoka kwenye kaelimu kangu ka bios ka form 4 hiki ndo ninachoweza kusema hapa. Asprin. PakaJimmy Smile msiogope kula matunda ila tu muhakikishe yanatengenezwa vyema na kwa usafi as hayapikwi so yanaweza kuwa chanzo cha magonjwa ya kuhara na homa za matumbo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom