Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,681
Hatari sana mkuu hivi viumbe visikie tuDah hii Kali sasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana mkuu hivi viumbe visikie tuDah hii Kali sasa!!
mshana jr muda huo unaupata wapi?Dume inalinda hata mti ukikugusa tu unapata kichapo....Yaani vita ya kukaibia jike jiandae kwa mtiti utakaoamuliwa na vikosi vya UN....Ha ha ha ha ha haKuna haja ya kufanya practical
Nyegere ni carnivora mkuu
Ni rahisi sana! Kicheche ni kiumbe na anahitaji kula ili aweze kuishi unachofanya ni kumtegeshea chakula anachopenda huku ukiwa umeweka dozi ya kutosha ya cocaine.....mshana jr muda huo unaupata wapi?Dume inalinda hata mti ukikugusa tu unapata kichapo....Yaani vita ya kukaibia jike jiandae kwa mtiti utakaoamuliwa na vikosi vya UN....Ha ha ha ha ha ha
Mkuu Mkereketwa haina haja ya kuniita muongo,ungeweza kutoa usahihi ya maelezo yako ya "kitaalamu" bila kunipa hilo jina.
Mimi nimefundishwa kwa kurithishwa na mababu zangu wawindaji tabia za mnyama huyu na jinsi ya kukabiliana nae,Wazee hawakuwa wameenda shule kusomea mambo ya wanyama,wao walikuwa wanajuwa mashuzi ya Nyegere si tu kujilinda na maadui kwa harufu kali,bali pia kuwapumbaza nyuki kila wanapokuwa wanakwenda kuvamia asali
Naahukuru kuwa hujapinga kuwa nyengere hujamba mashuzi yanayonuka,maana hii ndio sifa yake moja wapo kubwa,hizo sababu nyingine ni za elimu darasa ambazo babu zetu hawakupitia.Hata leo ukienda kijijini kwangu ukawaambia mashuzi ya nyegere hayaleweshi nyuki hawatakuelewa na huo "utaalamu" wako
Kwani Nyegere ni kicheche? mshana jrNi rahisi sana! Kicheche ni kiumbe na anahitaji kula ili aweze kuishi unachofanya ni kumtegeshea chakula anachopenda huku ukiwa umeweka dozi ya kutosha ya cocaine.....
Najua maan ya omnivores...nyegere yuko order carnivora sio omnivores...soma classfication yake from king dom to genus utajua...sio wanyama wote wanaokula anything ni omnivores.....kama umewai kufuga mbwa kuna kipindi mbwa ua wanakula nyasi..!.kama umewai kufunga mbwa hii kitu utakua ushawai kuiona lakin mbwa huwez ukamwita omnivoresUsijichanganganye, naomba utafute maana ya neno la "Omnivores" ina maana gani. Kwa kifupi, Nyegere anakula anything na ndiyo maana ya hilo neno la "Omnivores."
Hahaha yule jamaa alipata sana shidaDuh! Ha ha ha!
Asante kwa maarifa haya ... Ngoja ni mgoogle nimjue zaidi.
Duh! Nyegere bhana.
Hivi haka ndo kale kajamaa kabishi kwenye mkanda wa BUSH MEN?!!
Na mpaka uipate hiyo sehemu ya kichwa na kumpiga ni shughuli!
Nafikiri Mungu katuumba binadamu kipekee sana, kwamba tuna akili yakuwa na kiasi kwa kila jambo!Duniani hakuna mnyama ana wivu kama fisi maji! Na hakuna mnyama anakula mzigo full time kama fisi maji!Fisi maji ni sex addict! Yeye hata jani likimgusa sehemu za siri analirudia analipiga bao!
honey badgerkwa kingereza anaitwaje?