Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Ha ha ha!! Sifa alizomwagiwa dah! Kanapambana mpaka na simba! Wkt kuna mimtu inaogopa hata konokono😜😜 na Hilo swala la kujamba sasa ndo kiboko kameimarisha msemo kimfaacho mtu chake😂
Hizi sifa ziende kwa serikali ya awamu ya tano.. wanafata ndege km 1000 huko zikiwa zimeshikiliwa na mabeberu!
 
World, Simba ndiye mnyama anayeishi bila wasi wasi kuliko wanyama wote.

nyegere,hey bitcch please get busy.😄😄😄

Kwamba alienda kulala kwenye kambi ya mbwa mwitu😀,Nina uhakika 200% si tu kwamba hawakumgusa,Bali waliamua waondoke tu wamuachie.uliza sasa kama simba anaweza kufanya hili jaribio.
 
Kweli risasi kama alizotupiwa Tundu Lisu zisipenye? Yaani risasi zipenye kwenye bati la gari ziishindwe ngozi?
 
safi..tunaomba maelezo ya huyo mwamba hapo kwe profile yako anayekula utamu
Ndo yeye uyo nyegere mzee ni hatari sana uyu mdudu ata kama kwako kuna magrili basi atachimba chini ya ardhi mpk kwny kitanda chako atakupata tu nyoka yyte duniani kwake ni km kaona chokleti ya Bakhressa [emoji23] akila nyoka mwenye sumu kali huwa anazimia dk kadhaa Zen anaamka anachapa mwendo uyo ndie honey badger mnyama hatari msituni ila hazungumziwi wanazungumziwa warembo kina Simba [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
World, Simba ndiye mnyama anayeishi bila wasi wasi kuliko wanyama wote.

nyegere,hey bitcch please get busy.[emoji1][emoji1][emoji1]

Kwamba alienda kulala kwenye kambi ya mbwa mwitu[emoji3],Nina uhakika 200% si tu kwamba hawakumgusa,Bali waliamua waondoke tu wamuachie.uliza sasa kama simba anaweza kufanya hili jaribio.
Ingia you tube ucheki documentary ya uyo mwamba ndo uta kubali kwmb hakuna mnyama mtata km uyo duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • honey_badger_python_3_2017-04-07.jpg
    honey_badger_python_3_2017-04-07.jpg
    58.8 KB · Views: 1
  • honey_badger_python_10_2017-04-07.jpg
    honey_badger_python_10_2017-04-07.jpg
    60.4 KB · Views: 1
Ndo yeye uyo nyegere mzee ni hatari sana uyu mdudu ata kama kwako kuna magrili basi atachimba chini ya ardhi mpk kwny kitanda chako atakupata tu nyoka yyte duniani kwake ni km kaona chokleti ya Bakhressa [emoji23] akila nyoka mwenye sumu kali huwa anazimia dk kadhaa Zen anaamka anachapa mwendo uyo ndie honey badger mnyama hatari msituni ila hazungumziwi wanazungumziwa warembo kina Simba [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye gods must be crazy alikamata kiatu cha mzungu hakuachia muvi nzima ah ah
 
Ndo yeye uyo nyegere mzee ni hatari sana uyu mdudu ata kama kwako kuna magrili basi atachimba chini ya ardhi mpk kwny kitanda chako atakupata tu nyoka yyte duniani kwake ni km kaona chokleti ya Bakhressa [emoji23] akila nyoka mwenye sumu kali huwa anazimia dk kadhaa Zen anaamka anachapa mwendo uyo ndie honey badger mnyama hatari msituni ila hazungumziwi wanazungumziwa warembo kina Simba [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaitwa thloths ni tofauti na nyegere,kazubaa sana.
 
Back
Top Bottom