Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wako bush huko mikoani.
Aaah huyo hawezi kuwa mwamba,ni boya mmoja hivi kuvuka Barbara tu anaweza maliza dakika 40.safi..tunaomba maelezo ya huyo mwamba hapo kwe profile yako anayekula utamu
Ndo yeye uyo nyegere mzee ni hatari sana uyu mdudu ata kama kwako kuna magrili basi atachimba chini ya ardhi mpk kwny kitanda chako atakupata tu nyoka yyte duniani kwake ni km kaona chokleti ya Bakhressa [emoji23] akila nyoka mwenye sumu kali huwa anazimia dk kadhaa Zen anaamka anachapa mwendo uyo ndie honey badger mnyama hatari msituni ila hazungumziwi wanazungumziwa warembo kina Simba [emoji23][emoji23][emoji23]safi..tunaomba maelezo ya huyo mwamba hapo kwe profile yako anayekula utamu
Ingia you tube ucheki documentary ya uyo mwamba ndo uta kubali kwmb hakuna mnyama mtata km uyo dunianiWorld, Simba ndiye mnyama anayeishi bila wasi wasi kuliko wanyama wote.
nyegere,hey bitcch please get busy.[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwamba alienda kulala kwenye kambi ya mbwa mwitu[emoji3],Nina uhakika 200% si tu kwamba hawakumgusa,Bali waliamua waondoke tu wamuachie.uliza sasa kama simba anaweza kufanya hili jaribio.
Aaah huyo hawezi kuwa mwamba,ni boya mmoja hivi kuvuka Barbara tu anaweza maliza dakika 40.
kwenye gods must be crazy alikamata kiatu cha mzungu hakuachia muvi nzima ah ahNdo yeye uyo nyegere mzee ni hatari sana uyu mdudu ata kama kwako kuna magrili basi atachimba chini ya ardhi mpk kwny kitanda chako atakupata tu nyoka yyte duniani kwake ni km kaona chokleti ya Bakhressa [emoji23] akila nyoka mwenye sumu kali huwa anazimia dk kadhaa Zen anaamka anachapa mwendo uyo ndie honey badger mnyama hatari msituni ila hazungumziwi wanazungumziwa warembo kina Simba [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaitwa thloths ni tofauti na nyegere,kazubaa sana.Ndo yeye uyo nyegere mzee ni hatari sana uyu mdudu ata kama kwako kuna magrili basi atachimba chini ya ardhi mpk kwny kitanda chako atakupata tu nyoka yyte duniani kwake ni km kaona chokleti ya Bakhressa [emoji23] akila nyoka mwenye sumu kali huwa anazimia dk kadhaa Zen anaamka anachapa mwendo uyo ndie honey badger mnyama hatari msituni ila hazungumziwi wanazungumziwa warembo kina Simba [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app