Jina lingine anaitwa Ratel ama Zorila. Anawivu balaa sana huyu mnyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeweka neno la kiingereza (fart) au hujaliona mkuu ?
Hebu shika kwa mikono unionyeshe iyo siasaUnaleta mambo ya siasa pasipo husika
Mbuzi wa magengeni wewe!!! nilijua tuuh utakuja kupaza kinywa apa nyama wewe
Endelea kubaki na ujinga wakoHebu shika kwa mikono unionyeshe iyo siasa
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Nani anaumwa?
Ngeke weMbuzi wa magengeni wewe!!! nilijua tuuh utakuja kupaza kinywa apa nyama wewe
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Aisee na mm nataka kujua sifa za huyu kiumbe [emoji16]
[emoji23][emoji23] Nikama nyama ya fisi vile. [emoji91]
Nyegere , melesi au mhilu ( Mellivora capensis) ni mnyama mdogo wa familia Mustelidae anayetokea Afrika, Mashariki ya Kati na Uhindi .Unaweza kusoma hapa Nyegere - Wikipedia, kamusi elezo huru
Yes ni mbaya kwa mbio huyo hashikikiKhaligraph Jordan, Jamaa anakula nyama na majani
Bahahaha! You made my dayKhaligraph Jordan,
anajamba kinyampo (fart) kinanuka sana mpaka hulewesha nyuki , wengine wanaacha mzinga
Katika kuchunga usukumani tulishakutana nae sana, kala kuku wangu sana hadi siku nilipomdaka na kumla.
[emoji16][emoji3][emoji2960]Uyu mnyama anatabia zote za BAVICHA anachi ushuzi na kukimbia huku nyuki wakimfuata mkiani
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA