Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Habari wakuu, Leo katika pita pita zangu nikakutana na post MTU kapost hiki kimnyama akasema kinaitwa NYEGERA ila suala kwangu halipo kwenye jina lake, suala lipo katika mojawapo ya sifa nilizoziona kuwa ni balaa hata kuliko simba yaani eti ukikutana nako ni balaa[emoji23][emoji23]

Jaman kwa wajuaji wa haka kadude ni kweli? Au ni figisu tu za kutaka kukapaisha maana haingii akilini kidudu kidogo kama hiki kimtoe jasho mwanaume wa bariadi labda wa dar[emoji23][emoji23]
View attachment 1411898View attachment 1411899
Kuna uzi wa miaka 4 iliyopita inamuongelea, nimekuvutia uupitie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa....
Mmenikumbusha mbali sana..
Huney burger a.k.a Mr die harder...
Ukitaka usafishe kichaka fasta, basi jani liguse uchi wa mkewe.....
 
Habari wakuu, Leo katika pita pita zangu nikakutana na post MTU kapost hiki kimnyama akasema kinaitwa NYEGERA ila suala kwangu halipo kwenye jina lake, suala lipo katika mojawapo ya sifa nilizoziona kuwa ni balaa hata kuliko simba yaani eti ukikutana nako ni balaa[emoji23][emoji23]

Jaman kwa wajuaji wa haka kadude ni kweli? Au ni figisu tu za kutaka kukapaisha maana haingii akilini kidudu kidogo kama hiki kimtoe jasho mwanaume wa bariadi labda wa dar[emoji23][emoji23]
View attachment 1411898View attachment 1411899
Ndo mnyama mwenye wivu kuliko wanyama wote akitembea na mwanamke anakaa nyuma hata jani likigusa uchi wa mwanamke atalikatakata akiamini umeshapata utamu wa mke wake na akikutana na mwanaume anakimbilia kung'oa pumbu zako akiamini unamnyemelea baby wake ni mbabe sana ndo mnyama acyenyanyaswa porini ngozi yake ngumu sana chakula kikuu ni asali yeye hata nyoka gn awezi kumtisha huyo jamaa baadh ya wanawake upenda kwenda kwa waganga kuomba dada kumtengeneza mwanaume awe na wivu wa Nyegere
 
*HONEY BADGER (NYEGERE/LIBULI),MNYAMA MWENYE WIVU KUPITA WOTE KTK SAYARI YA DUNIA*


Nyegere(Libuli) ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa na ya dhati sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike,inakuwa tatizo tayari,yaani litachezea kichapo na litararuliwa na kubakia Kama limetafunwa,maana wivu wake siyo wa hapa na anaamini kuwa jani litakuwa limeshafanya mapenzi na jike lake.Kimsingi anavyopenda mambo ya tifu,Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha nane hukoooo, walina asali ndiyo waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga wa nyuki,nyuki wote wakalewa na wasimfanye lolote na akala asali kidogo tu na kupeleka kwa mke.Mlina asali akifika na kupakua, nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake (ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijijini wameuwawa kwa namna hii. Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo cha kutosha halafu akarudi zake porini kimya kimya.Kimsingi ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k...kwa kifupi anakula kila kitu na ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu sana kupenya.ukitaka kumuua ni kumpiga katika fuvu la kichwa chake na kitu kizito au risasi kichwani,katika guines world book of records yeye ndiye the most fearless creature on the planet,mwili wake haudhuriki na sumu ya nyoka wa kawaida na ikitokea ameumwa na nyoka mwenye sumu kali na sumu ikapenya kwenye damu yake itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu kisha ataendelea na mishe zake Kama kawaida na akikutana na nyoka akikumbuka aina ya aliyemtemea sumu,anamtangazia tifu akijua ni yeye na hapa lazima achukue kombe mapema kweupe kabisaa,akishamuua anampelekea mkewe home. Ana meno makali/magumu sana yenye uwezo wa kupasua hata jumba la kobe. .Ashawahi kukutwa akichapana na simba na hata tembo na vifaru katika nyakati tofauti tofauti na hapa wanyama hao wakubwa wanaamua kukimbia Maana yeye huwa hashindwagi,anaamini ni bora afie ktk battlefield kuliko kuliko kushindwa tifu. Ni mvivu katika masuala ya nyumba yake hivyo basi anapojisikia uvivu hujilaza sehemu yoyote inayomfaa..ishaonekana akiwa kajilaza katika pango la mbwa mwitu kama kwake,mbwa mwita wakirudi toka mawindoni wanamkuta kajilaza getto wanamwanzishia akiwa usingizini lakini mwisho huyu jamaa anachukua kombe baada ya mtifuano mrefu. Wanapatikana India,Kusini magharibi barani Asia na Afrika.Siyo mnyama wa mchezomchezo,ktk patashika nguo kuchanika akikujambia tu,ishakuwa shida tayari,hata ukitoka nduki,mwingine akikukuta huko mbeleni anakinukisha,maana anajua unanuka ugomvi,mwenzake kakuachia harufu ya tifu.
IMG_20200704_064832_702.jpeg
 
Huyo Anauwawa Tu, Kuhusu Risasi Acha Hiyo Ni Hatari
 
Back
Top Bottom